RASIMU Ibara 86 (1) Hakuna Haja Kuwa Na Makamu wa Rais

Mtumbatu

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
362
170
86.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla …

Hakuna haja ya kuwa na makamu wa rais ni kuongeza gharama tu na kushabikia siasa, kama Rais wa Jamuhuri ya Muungano atatoka Tanzania Bara makamu wa Rais atakuwa Rais wa Zanzibar, na kama Rais wa Jamhuri atatoka Zanzibar makamu wa Rais atakuwa Rais wa Tanzania Bara. Hata kama wanatoka vyama tofauti inawezekana tukiweka siasa pembeni, na hili ndilo lililofanyika Zanzibar, Rais na makamu wa rais wanatoka vyama tofauti.
 
Huwezi kumchagua rais bila makamu, ni sawa na kunya bila kukojoa ...
 
Kuna mitego mingi kwenye rasimu hiyo. Lakini tena imeandikwa kizungu wakati wanataka mzee wa Ng'wagitolyo naye asome na kuelewa ili achangie, wanao mpango wa kukosolewa kweli jamaa hawa kina Warioba? Nadhani kutishiana tu kwa lugha ya kisheria hapa, na wachangiaji tutegemee ni wale wanaojua lugha hiyo vizuri. Kwa nini hawakuandika kiswahili?
 
mbona imeandikwa kiswahili wewe
 
Dah!!..
 
Imeandikwa kwa lugha ya pwani soma hapa ;

RASIMU YA KATIBA MPYA YA TANZANIA - FINAL DRAFT
 
makamu wa rais lazima awepo tu.ila nafasi ya uwaziri mkuu usiwepo ata kama wakubwa wataamua wenyewe kwa ulaji wao lazima tutaupinga.
 
86.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla …

Hakuna haja ya kuwa na makamu wa rais ni kuongeza gharama tu na kushabikia siasa, kama Rais wa Jamuhuri ya Muungano atatoka Tanzania Bara makamu wa Rais atakuwa Rais wa Zanzibar, na kama Rais wa Jamhuri atatoka Zanzibar makamu wa Rais atakuwa Rais wa Tanzania Bara. Hata kama wanatoka vyama tofauti inawezekana tukiweka siasa pembeni, na hili ndilo lililofanyika Zanzibar, Rais na makamu wa rais wanatoka vyama tofauti.

Mimi naongezea hakuna haja ya kuwa na Maraisi watatu katika nchi moja. Tuwe na raisi mmoja na serikali za Zanzibar na Tanganyika ziongozwe na Mawaziri Wakuu. Chama kinachoshinda uchanguzi mkuu kipewe fursa ya kuunda serikali kwa kiongozi wake kuwa Waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom