Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Status
Not open for further replies.
Re.Kishoka,

Nimesema hivyo baada ya kuisoma vizuri sheria ya Usalama wa Taifa. Ninachoweza kusema ni kuwa, kuna watu wana chuki na Othman au hawajui vizuri majukumu ya Usalama wa Taifa, na wamekuwa WAVIVU kuisoma au wamesisoma lakini HAWAJAIELEWA.

Mie niliwaleta hapa functions of TISS watu wakiziangalia tu,Kimsingi mie sijaona kosa la DG RO.ila tatizo ni mfumo uliopo katika masuala yanayohusu usalama wa nchi.
 
Mi ningependa twende strategically, ktaka stategic na systemic changes, kuliko kuona watu wanabadilishwa.

RO akijiuzulu, kama bado tuna tabia za kupeana vyeo kwa sababu ya mitandao atakuja mwanamtandao mwingine hadithi itajirudia.

Ingekuwa vizuri kama bunge letu lingekuwa lina kina Slaa, Kilango na kina Zitto wengi zaidi halafu appointees hawa wanafanyiwa parliamentaly confirmation, wanakuwa grilled, tunajua akipita ni bunge limempitisha.

Siyo kesho keshokutwa rais anaamka anamtonya yule mshkaji wake aliyekuwa pimp wake wa kumtafutia mabibi London ndiyo anamfanya kuwa Director wa Intelligence, si ndicho kilichotokea hicho, au nadanganya?
 
Yes i sad.Na suala la yeye kuelezea kuandika mambo katika Raia Mwema na TAnzania Daima linahusu mjadala huu??

Wewe ni king of Spining,Hata kule umejitahidi kumtetea Mzee FMES bila kumruhusu yeye ajietete Mwenyewe.Wewe ni Katibu wa Mwanakijiji??

Gembe, utasubiri muda mrefu mtu aje kujitetea. Kwa sababu inaonekana you are the only one who is outside the loop.
 
Re.Kishoka,

Nimesema hivyo baada ya kuisoma vizuri sheria ya Usalama wa Taifa. Ninachoweza kusema ni kuwa, kuna watu wana chuki na Othman au hawajui vizuri majukumu ya Usalama wa Taifa, na wamekuwa WAVIVU kuisoma au wamesisoma lakini HAWAJAIELEWA.

Wewe ndio unaonekana kutetea hapa usichojua! So far hata hujaweka wazi utetezi wako uonekane ni upi zaidi tu kusema kuwa RO hausiki au hayuko responsible na upotevu wa mabilioni ya mali na usalama wa taifa la watanzania?!
 

..mawazo mazuri,ila kusudi yaweze kutendeka,inabidi tuwe na strong opposition! ushindani wa kisiasa uwe mkubwa!

..hali ya sasa hairuhusu uwazi,uwajibikaji na wala uadilifu! chama chenye nguvu ni kimoja tu!
 
Pundit,

Nakubaliana na wewe kabisa.
Gembe, nakushukura sana kwa ktuletea functions za TISS, lakini nasikitika watu hawakuzisoma na kuzielewa.

Nina mashaka na akili za humu ndani, kwani inaonekana ni mabingwa wa kushutumu kuliko kujenga hoja. Kama mtu hajui kitu ni vizuri akauliza, kama anataka kujua, lakini sio vizuri akajifanya anajua saaana, matokeo yake watu huwa wanaingia mitini wakati bado tunawahitaji sana.
 

Lakini kwa nini tuwe tunamfuatisha huyo mtu? Hutuwezi kuwa na mawazo huru tofauti nae?
 
Tuisome tena hiyo sheria ambayo apparently wao wenyewe hawaifuati?
 


Duniani hakuna kitu kibaya kama ushabiki manake unaweza kushabikia kitu bila hojas, hapa hii hoja haina msingi kabisa katika kutetea uongo wa ES manake kama misimamo hubadilika kimsingi misimamo hubadilika kwenye maoni, ie mtu ukiamini anafanya kazi nzuri baadae waweza amini kuwa hana analofanya! hapo msimamo umebadilika, perfectly acceptable logically!!

Lakini inapokuwa umesema kuwa umekutana na mimi mara kibao kisha baadae ukasema hunijui, huo ni UONGO sio kubadilika kwa msimamo.

Honestly wakati mwingine huwa najiuliza viwango vya elimu vya wahusika humu! manake mambo kidogo tu ya reasoning watu yanawashinda.

ES awali kumbe imebainika kuwa alidai ameonana na RO mara nyingi sana, sasa anasema huyo RO wala simfahamu, huu ni UONGO wa dhahiri ambao kwa mtu mwenye kujipa cheo cha Field Marshall kwa ''kumkoma nyani giladi'' ni sawa na mtu mzima kuchafua hewa!!

Yaani sijui atatokea wapi katika hili, hivi punde tu tulimtaka Brazameni aombe radhi kwa kusema uongo kuhusu kukamatwa kwa Kitila Mkumbo......napendekeza tumshinikize na FMES nae athibitishe au akiri kuwa ametudanganya...kwa mtu mwenye hadhi fulani ndani ya forum hii kudanganya watu ni kushusha hadhi ya forum...I hope ma-admin mmeliona hili!!

Duh kwa hili ES amechemsha vibaya sana!namuonea huruma huko aliko, naona kapotea ile mbaya ghafla!
 

FMES yupo na amejaa tele. Mara nyingi mida hii yuko off.

Kukutana na mtu haitoshi kumjua mtu! katika hili bado FMES ana argument na nyie mnabluff tu!
 
Hii bado si chochote,

Unaweza kuwa unamfahamu mtu kwa namna na huyu mtu akakugeuka na akafanya mambo ya ajabu to the point ya wewe kufikia hitimisho la kutomfahamu tena huyo mtu ... fuatilia divosi zinazoendelea duniani.

Ewe bibi unadanganya watu wazima? ukidai umekutana na mtu mara kibao na kisha baadae kudai humjui ni tofauti kabisa na kufananisha na issue za divosi, hapo ni kubadilika misimamo, mimi nikisema nakufahamu na tumeshaonana mara kibao na baadae kwenye issue nyigine nikasema sikufahamu kabisa HUO UNAITWA UONGO...

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mtu mwenye akili, ambae anajua kuwa una akili akakupa hoja ya kipumbavu kisha ukaikubali, amekudharau...[this is paraphrasing not actual quote]...bibie acha kuinsult intelligence za watu wazima humu!!

FMES ametundanganya afute kauli yake au aseme tuamini lipi anamfahamu RO ''kwa kukutana nae mara kibao'' au ''RO mwenyewe wala simfahamu'' which is true?!!

watu wazima mkishikwa pabaya mnahaha!! tehe tehe
 

Bado hakuna chochote kwenye argument yako. Kusema kuwa umekutana na mtu mara nyingi ni tofauti na kusema kuwa unamjua mtu. Mimi nakutana na watu kibao hapa shuleni na kazini lakini wengi wao siwajui.

Katika hili wewe ndio umeshikwa pabaya ... na unataka kusingizia kuwa FMES amekimbia wakati inajulikana kuwa muda mwingi mida hii yuko off!
 

The post has been quoted so that people can read between the lines and know what exactly ES said on the same personality.....

Sometimes it is best to leave the facts stand on their own...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…