RASHID OTHMAN tangu achaguliwe

Rwagubiri pamoja na no of posts..lkn humjui Rashid Othman??? Jipe Homework ya kusoma archive..kifupi bosi wa Usalama wa Taifa Tanzania...
 
Rwagubiri pamoja na no of posts..lkn humjui Rashid Othman??? Jipe Homework ya kusoma archive..kifupi bosi wa Usalama wa Taifa Tanzania...

Namjua sana, ila mwanzilishi wa mada ni vyema aweke minofu kidogo ili tupate mahali pa kuanzia kuweka visu vyetu!

Hata hivo hili jamvi ni letu wote, hata aliye ingia leo anaruksa kuchangia, na pengine wapo kweli wasio mjua.. sidhani kama ni ajabu kwa kutomfahamu!

Hata hivo asante kwa kutufahamisha!
 
Toka awali nilikuwa na wasiwasi sana na Uteuzi wa Huyu Bwana Mkubwa,Ni kweli ni Mtu wa muda mrefu kwenye Idara,na kwa kipindi kirefu alifanya kazi ZANZIBAR kabla ya kwenda Uk na Baadaye kurudishwa Dar kwa kazi za Utawala,Kwa mawazo yangu ni kwamba Mzee Adadi Rajab ndiyo choice yake kwa maana jamaa hawa wana Urafiki wa karibu na wote ni WAGOSI!!!
 
kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiii. I love this forum! Naona taratibuuuu tunaishiwa....
 
hii thread bado mbichi sana hasa ktk nyakati hizi za kuelekea lala salama ya utawala wa jk.natamani wadau mje hapa kujazia nyama ktk mada hii ili tumtathimini mlengwa.
 
hii thread bado mbichi sana hasa ktk nyakati hizi za kuelekea lala salama ya utawala wa jk.natamani wadau mje hapa kujazia nyama ktk mada hii ili tumtathimini mlengwa.