Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

Status
Not open for further replies.
Bw. Rashid Nampongeza sana kwa kuchukua nafasi hiyo!.. Ni kijana shupavu na sisi wanamaskani wa Maisara tunajua hilo, na wala haitaji kuweka cv yake hadharani, kwa kuwa tu baadhi ya watu hawamjui...!

Hivi wewe Kibunango ni mtu wa aina gani? nimekuwa nikisoma topic zako nyingi zinanishangaza nini hasa kinachoendelea ndani ya akili yako ?sasa kama mtu hajulikani ni wajibu wake atowe introduction ili watu wamjuwe hilo ni jambo la kawaida ,hivi kweli hapo ulipo unasoma au unaganga na maisha tu ?
 
- Usishangae kwamba UWT wanaweza kuwa wana ripoti zote inadvance, ila kuna wakubwa wanaoshirikiana na hao wavamiaji wa Central Bank, usiwa-underestimate mafisadi mkuu!

Respect.

FMeS!

Mkuu no doubt kwamba wanajua, maana hata kwenye madawati ya kule ndani BOT watu wao wako wengi tu. Lakini the thing is, effective intelligence ni ile inayogundua tatizo mapema na kulizuia kabla halijatokea, na kama linatokea inakuwa quick kurespond. Uwezeo huu usalama wetu walikuwa nao kabisa, the question is umeenda wapi? why all of a sudden they have become so lame?

Jibu linaweza kuwa labda wenyewe ndio wamekuwa wezi. In normal circumstances sitaki kuliamini kama mlinzi wetu huyu mkuu anaweza kuwa mwizi.

Lakini the fact remains, ili kuondokana na ujinga huu tunaondelea nao ni lazima hawa jamaa wafanye kazi yao efficiently na effectively. Tunahitaji kuwe na miundo yneye nguvu na inayoweza kufanya kazi, sio kuacha nchi inaendeshwa na wanasiasa kupitia media, tunaonesha utoto sana, inatia uchungu mkuu.
 

Una hint nzuri mkuu!
 
Sawa kabisa. Nakumbuka nilimsikia Mwalimu Nyerere akisema, 'There is a limit to milking a cow'!!
 
Enzi za Balozi Majengo,heshima ya ubalozi ulikuwepo Foreign Affairs!
Sasa Bibi Radhia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?Oh my God!Ngono tu!!
Heshima ya Mabalozi wa Tz wanaotuwakilisha nje ni scandal !
Islamisation na Ngono!
Mwanamasala,
Mkuu Lugha uliyotumia imekaa KIUCHOCHEZI si busara kuitumaia mahali kama hapa.
 
Jasusi,
Inasisimua!!!!
 
Ganesh,
The problem with Mbeya ni kwamba yule anayepelekewa ripoti kishastaafu. Alikuwa mtu wa Che nkapa. Is that the way we want to run out UWT?
Hakuna kosa kutaka ushauri (Advice) Kwa mtu Mwenye ujuzi kama wako au katika Fani yako.Ni busara kutafuta second evan third Opinion Kabla ya Maauzi makuu.
 
Mkuu Siri nyingine Huvujishwa kwa Makusudi, na hili hufanyika kwenye Mashirika na Taasisi kadhaa, Duniani kote.
 

- Maneno mazito sana haya mkuu, tupo pamoja hapo!

Respect.


FMEs!
 

Huyu mama hana ukali wowote, ameonyesha ufisadi wake kwa kuiba akiwa Rais wa Baraza la Afrika na amerudi nyumbani na aibu baada ya kuachishwa wazifa huo; si hivyo tu ameiaibisha nchi yetu mbele ya bara zima la Afrika in fact alitakiwa afukuzwe hata ubunge wake hapa nyumbani!
 

- Unajua mkuu katika watu ambao wameniangusha sana kwenye siasa huyu mama ni namba moja, maana nilikuwa ninamuamini sana!

Respect.


FMeS!
 
GT, many thanks kwa maelezo yako marefu na yanayotoa mwanga.
How about Membe na Mahiga? Anything they can offer?


Naam nimerudi tena baada ya kuishia jana usiku maana nilikuwa na usingizi ile mbaya

Nilikuwa sijamaliza the 8 POSITIVE observations ambazo zimejitokea tangu RO achukue idara na pia inanibidi niwe more detailed kuliko nilivyofikiria kwani kuna hatari ya mis-information ambazo if anything zinataka kuifanya TISS ya RO ionekane mbaya ili hali watu hawaelewi jinsi hii idara inavyofanya kazi

Enzi za deep analysis JF zishapita na if anything humu ndani tumekuwa na PUNCH & JUDY debates ambazo if anything zilikuwa zinahatari ya kuifanya hii forum isionekane makini.

nayway katika kuendeleza maelezo yangu ni naingia hizo observations 8 Positive ambazo zinaonekna tangu R.O achukue

Tatu kulikuwa na malalamiko kuhusu active recruitment na sourcing lakini hizo ni mihimili mikuuu ya Idara hii na bila kuwa na watu sehemu mbali mbali ni wazi kuwa tungekuwa kwenye mgogoro mzito kuliko hata impressions ambazo tunapewa na magazeti, Bila kusahau kuwa utility za electronic surveillance lazima ziwe acknowledged, lakini what R.O has done ni kuwa information zimekuwa nyingi sana kwenye public domain na na kusema ukweli ni bora zikawa open kuliko kutokuwa open na hii yote ilishaelzwa na CARL VON CLAUSEWITZ kwenye kitabu chake cha On War..sasa msikae mkafikiria kuwa wananetwork kali sanaaa ya kupata data kuliko TISS wala!

Hivyo basi hiyO SIG INT imekuwa kali kuliko what you and me could know na as far as i know ni kuwa wenyewe wanaiview as a secondary kwenye ileee nyingine ambayo ilikuwa assessed na comprehensively analyzed HUMINT. There for kaeni mkijua kuwa for idara kama TISS MUHINT au sources ni bread and butter yao, jambo ambalo wakati wa APSO & Co lilikuwa halikutiliwa mkazo sana.

Sitokuwa specific lakini naweza kusema wazi kuwa tangu R.O aingie taarifa zilizopo ni kuwa kwa sasa for TISS , framing overall data collection efforts kwa kupitia human-sourced context imekuwa na mapinduzi na manufaa makubwa katika ku disrupt operational cells za wabaya wa Taifa letu tukufu...na hii imewezekana kwa sababu ya wale vijana wanaolipwa mishahara mbuzi kuwa PATRIOTIC enough kwa kutumia HUINT ambao if anything wameweza kuprovide high-grade intelligence on our enemies intentions, capabilities, resources, and evolving dynamics.

Of course hayo hayaandikwi na wenyewe wako comfortable kuishi maisha hayo kwenye kazi ambayo wameamua kukosa comfort niceties kama walizo nazo ma armchair critics wa TISS kwenye print na electronic media.

vVile vile ningependa kuwafahamisha kuwa HUMINT siku zote has always been integral wakati TISS wanafanya time-sensitive threat assessment amabazo wanaziproduce on regular basis na kwa taarifa tuu ni kuwa wanazitumia kuwapasha Jeshi na mambo ya policymaking . Vile vile ningependa kuongeza tuu kuwa kutokana na umuhimu wake imeweza kuchangia kwenye well-developed physical protection programs, ambayo if anything imeweza kuruhusu greater flexibility in target hardening wakati huo huo simultaneously helping to mitigate the wasteful and inefficient allocation of resources ambazo APSON na genge lake walikuwa maafu for.

Nne, Jambo lingine ambalo R.O ameweza kuweka wazi kule TISS ni kuweka utaratibu ambao if anything TISS sasa inaonekana kuwa kwa kiasi fulani kuna institution of comprehensive checks and balances ambayo kwa mwenye kuelewa mambo ya Intelligence katika nchi zilozo endelea ina form an integral component the intelligence infrastructure

Mfano mzuri ni reviews na audits ambazo zimekuwa conducted na executive branch na pia bila kusahau kwenye parliamentary level ambayo imekuwa integral kwenye kureview operational activities za TISS na RO yote hayo ni kuhakikisha kuwa respective programs na resources wanazopata zimekuwa implemented in as effective, efficient, and legitimate a manner as possible.

Tano, thTangu R.O aingie kumekuwepo kwa regular national threat assessment ambayo as far as i know jeshi la polisi wanatumia kudesign viable and sustainable counterstrategies.

Sita
, Kama mnakumbuka kila wakati watu wakiongelea TISS misemo imekuwa ohhh lile ni chaka la watoto wa wakubwa ni kweli hiyo ilikuwepo mpaka alipoingia R.O.

In fact nijuavyo mimi ni kuwa kwa sasa TISS ya RO wameweza ku draw on a wider, more diverse intelligence recruitment pool ambayo haipo bounded or defined by the strictures of a domestic policing environment kama enzi za akina Aspon et al.

Hii imekuwa ni muhimu kwani kwani sasa TISS ina attract individuals who would not normally be interested in entering a law enforcement profession,kama vile malinguists, historians, economists, psychologists, social scientists, na bila kusahau wale ambao wako established academic expertise kwenye nyanja kama vile international relations, strategic studies, lowintensity conflict, na of course terrorism. TISS ya sasa kuweza kuwa na these types of personnel imeweza kuprove kuwa beneficial katika kuzuia rounded, creative, na bila kusahau forward-looking analytical assessments ambazo tunaweza kusema zimeweza ku straddle both the tactical and strategic dimensions kwenye tasking, processing, exploitation, and dissemination chain....its not perfect lakini dalili ni nzuri

Saba
, Tangu RO aingie pamoja na allegations za sabotages toka kwa Apson kumekuwepo kwa ‘smooth" information coordination with the foreign spy services na hii inatusaidia kwenye majanga mengi ambayo taifa letu limeweza kuepuka lakini pia lazima ukweli ubaki kuwa kumekuepo matatizo ya tofauti za jurisdictional mandates na responsibilities au tuseme kumekuwepo mutual recognition ya kuwepo kwa long-term, preemptive surveillance ambayo if anything imefoster a level of trust & understanding ambayo inturn fed into the development of viable bilateral counterintelligence na hasa kwenye counter terrorist data exchange arrangements baina yetu na hao jamaa wa nje na hi ni muhimu sana katika hii modern era ya ‘globalized terror," ambayo ma extremist threats to national interest no longer accord to a neat internal-external dichotomy kama enzi za akina Kitine na Kombe.

Mwisho ni kufuatia hiyo point namba 7 hapo juu, RO ameweza kufanikisha creation of dedicated coordinating bodies ambazo zimekuwa zikitoa central mechanism for disseminating information na bila kusahau availing interagency operations.

Sasa haya mambo kuwa R.O hakufaa and so on najua yanatokana na SNOBBERY kuwa hakusoma huko nje kama akina Mahiga, Membe & the lot, na of course kwa sababu hakuwa inner circle ya wale waliokuwa wanatajwa then i guess its a slam dunk kuwa he doesnt fit the profile na mbaya zaidi kaingia kwenye kipindi ambacho kila kaburi limefumuka na kusema kweli kuweza ku survive all these issues ni kwa sababu he has the audacity to stay on the job..kwa wanaomjua he is very switched on, He's dynamic, confident, a natural leader. He's a gifted communicator..
 
.goood GT..wapinzani wa RO wa ndani wanama the guy is leaving big time reckless life ...[his personal life of course ,but its under scrutiny]...sidhani kama wanamaanisha anaishi maisha reckless kama JAMES KAZINI....but that may be the there cause to justify kuwa jamaa ni failure ...you know propaganda set up....and justifications ....

wakuu waliotangulia kabla yake ......walikuwa wako curtained from public ....unlike huyu....nothing much was know to the extent of rising eyebrows about there personal and social life.....

nadhani hapa kuna issue za ethical codes....zinawataka watu wa level ya DG wa idara kama hiyo waishi vipi...

ishu ya ukilaza ni kweli its another point hasa against wale waliotrained israel, east europe, north korea etc ...ndio maana utasikia watu wanauliza amekuwa trained wapi huyu?
 
Wakuu topic tumemaliza kuondoa upupu uliokuwepo sasa iko OK, wengi mlikuwa mnaiulizia lakini nadhani hamkuangalia ilivyojaa upupu mwingi, I (personally) will keep an eye on this topic, pls msiharibu mtiririko wa hoja!

Nipo nipo sana
 

Mjadala huu unachangiwa na uelewa mdogo, Aidha hao wote muliowataja mnawafahamu kwa sehemu na mnajaribu kukusanya taarifa zinazo fanana fanana na ukweli japo kuwa si za kweli. k.m wakati Kombe ni mkuu wa usalama wa taifa Othman alikuwa hajapelekwa Uingereza. Mkapa alimteua Othman kuchukua nafasi ya Modestus Lilunguru ambaye ni mwenye kiti wa Tanapa kabla Kikwete hajawa rais,Zipo sababu kwa nini Othman alipewa nafasi ya kuwa mkuu wa usalama wa taifa ambazo kwa wanaojua zinaanza hata kabla hajaondoka London wanaojua wanajua.
Wapo walio jaribu kuwalinganisha Dr. Mahinga, Apson, Mzena, nachoweza kusema ni kwamba kila mmoja anamchango alioutoa kwa sehemu

Lakini kwa wanaojua historia ya idara hiyo hajawahi kutokea mkurugenzi mkuu kama marehemu E.Mzena kuhusu upendeleo Mwalimu alimchagua Lawrence Gama kuwa mkuu wa usalama je ni kwa vile aliwahi kumwoa dada yake mwalimu?

Baadaye akaja H.Kitine, Mahiga akakaimu kwa muda kisha akaja Kombe na baadaye Apson ambaye amwemwachia Othman kwa kifupi kila mmoja wa hao ana madhaifu yake na ana mazuri yake tatizo kubwa hapa ni kwamba sisi tunaochangia hapa aidha tunayapata haya kijiweni kwani ninaimani kuwa maswala hasa ya idara hakuna anaye yajua kwani hata wana usalama wenyewe wana mipaka katika kujua mambo kitengo fulani hakijuai kitengo kingine iknafanya nini ili kuimalisha kutokuvuja siri ndo kwa maana wachangia hoja wote wanajaribu kupapasa

Hivyo ningeshauri kama jambo huna uhakika nalo usiliseme (sema unalolijua japokuwa si yote unayoyajua).
 

- Mkuu Kahinda, heshima mbele sana, nilipoutoa huo mchango ilikwa ni miaka mingi iliyopita, na nilikuwa ninatabiri mapungufu makubwa sana kuja kulikuta taifa hili kutokana na njia zisizokuwa straight za kupeana vyeo muhimu vya taifa, na sasa yametukuta hili taifa kama nilivyokuwa nikitabiri!

- Wakati Muungwana anatafuta urais kuna aliowaahidi nafasi za juu kwenye serikali yake, na RO alikuwa ni mmojawapo na tulisema hayo toka BCS na akawa kweli, na sio siri kwamba mazingara ya jinsi alivyopewa ile nafasi hayakuendana samba samba na traditon za huko uwt, kwa mfano Abson alipokuwa anastaafu ki-tradition ya huko alitakiwa kupendekeza majina manne kwa Rais, ili aamue anamtaka nani, lakini yeye alipendekeza jina moja tu la RO sasa unafikiri mkuu ilikuwa ni bahati tu alifanya hivyo? Ukweli ni kwamba alifanya hivyo knowing kwamba it won't make any defference kwa sababu ilikuwa iko wazi na very clear kwamba RO ndiye mteule wa Muungwana kushika hiyo nafasi!

- JF ni mahali pa kuelimishana sio anything else, kwenye hii habari ya RO tulikuwa right 100%, maana tulianza kusema kabla hata hajapewa kule BCS, kama kuna habari hapa unaiona ina mapungufu unairekebisha tu na hoja, lakini generalizations na sweeping statements za kushambulia members usiowajua kama wasivyokujua, ni waste of time. Humu kuna watu sio kwamba wanaijua usalama, bali kuna mpaka wanaofanya kazi huko na kujua kinachoendelea, ndio maana kila wakati tunasema hapa kwamba Abson bado anaendelea kui-remote hiyo idara, sihitaji kuwepo huku usalama kujua hilo! Infact tunajua hata kilichopelekea kifo cha Kombe na sababu ambayo ilikuwa watu huko kuchoka na wizi wake wa kuwafikisha hata kusafiri bila posho, huku yeye akichota na kufuja hela zao bila huruma!

- Ni wapi umewahi kusikia Mkurugenzi wa Idara ya usalama wa taifa, akikosewa na kufanananishwa na jambazi mpaka kuishia kupigwa risasi vichochoroni, it does not make any sense at all! na sio lazima kuwepo usalama kujua hili!

Respect.


FMEs!
 
wamechaguliwa wakuu wa wilaya 15 hivi karibuni na waislam ni watatu tu.

wamechaguliwa makatibu wakuu hivi karibuni muislam ni mmoja tu Mohamed Abdul wakili aliyepelekwa Mambo ya Ndani.

wamechaguliwa majaji wote wakristu.


wamechaguliwa jana mabalozi watatu na muislam ni mmoja tu.
 
.

Wewe ndio unaleta chuki na majungu. Tangu lini nafasi zikatolewa kwa kuangalia dini ya mtu? Kwako wewe dini ni Uislamu na Ukristo tu. Mbona wasioamini hizo dini zenu hawatajwi? Besides Rais Mwislam, Makamu Mwislam, Katibu Mkuu Chama Cha Majambazi (tawala)mwislamu and the list goes on sasa unataka nini zaidi?
 

Kwanza who are the so called wapinzani wa RO?

Pili if anything hakuna hata mmoja liayeleta critical analysis on his work tangu aingie zaidi kutaka kulaumu bila ya kuwa na facts on how this organ works

Tatu natudia tena most of his critics ni ma SNOBS na kwa sababu the man was never in their circle na hilo linawatatiza

Nne hebu elezea unaposema LEAVING BIG TIME RECKLESS LIFE...au unamaana LIVING?

fafanua what you mean by RECKLESS LIFE

Tano, unaposema UNDER SCRUTINY ni why? from who? na wanatumia benchmarks zipi kujustify hiyo scrutiny

Sita, huwezi kuzungumzia ethical codes bila kufafanua hayo niliouliza hapo juu

And speaking of reckless mtazame huyu boss mpya wa MI6 na picha zake alizoziposti baadae wakabadilisha kuwa kaposti mkewe kwenye Facebook..


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…