Rashid halisi huyu hapa

Penye Kweli mkuu unakuwaga soft kweli hadi nakuonea Huruma! Sawa Sawa!

Yani nawe unasadiki dogo ni "noma" sababu ana sijda. . . . . . . .ulitaka niendelee kujadiliana na mtu "anayeamini" . . . . .kuwa "linaloonekana ndilo". . .?!!?
Mtu anayeelekea kutojua umuhimu wa positivism na realism kwa umoja wao we kakomaa na positivism tu. . . . .kama huo ndio upole yeah i am ila kunionea huruma hapo sasa nawe unaingia kundi lake. . .
 
Hao wakenya nao naona wana visa tu...eti "Gaidi Mtanzania"...yote kuharibu tu jina la Tanzania...
 
Sikuwahi kufikiri unaweza kuwa na sura nzuri laini na ukawa na chuki moyoni. Siku zote huwa naamini chuki uliyojaza moyoni inahatibu sura. Leo nimebadili mawazo

Wa2 wenye sura ya upole huwa hatari sana na huwa wa2 wa aibuaibu
 
Kwa muonekano kwa field imethibitika ni sniper

Ni kweli halafu ukiangalia picha zao walipigwa risasi za vichwa.so itakua walikua well trained ndio mana mapambano yalichukua mda mrefu na kdf walibuy tym ili kuwavuta kisha snipers ndio wakamaliza kazi
 
Ila huyo rashid halisi ni noma...sidga imekomaa kwa paji la uso si mchezo...haya bana watu na kupigania mabikra 70 peponi
Wenye sigda halisi hawauwi watu. Yeye alikuwa anasugua kwa jiwe kuonesha namjua amwabudie lakini kumbe fix tuu
 

Naomba niendelee kukuheshimu mkuu olesaidimu.. hivi hakuna namna yoyote ya 'kujitutumua' ujuaji pasi kubeza wengine?
Jamaa kukwambia tu anakuonea huruma ukarudi speed kuni attack ili kujustify 'umwamba' wako..hivi umeelewaje labda niliposema anaonekana ni noma coz ya sigda?..
Hivi kama umenibeza mimi na kumjibu jamaa kuwa 'ulitaka niendelee kujadiliana na mtu anayeamini.....' je ungekatika miguu km ungembeza na huyo aliyekuonea huruma??au uliona ukikaa kimya kwa hilo pia ungeugua?..
 
Wenye sigda halisi hawauwi watu. Yeye alikuwa anasugua kwa jiwe kuonesha namjua amwabudie lakini kumbe fix tuu

Ni kweli tupu mkuu BUBE....hizi imani zetu zina mengi sana..
 

Jazia jazia minofu mkuu, naona nimeokota kitu hapa ila sijashiba..
 

Mkuu, Huyo Mmasai anakuwaga mtata sana! Baada ya kuacha kuvaa mashuka ya rangi nyekundu na kuacha kushika rungu mkononi anajiona mjanja kweli Kweli!
Nilishangaa Jana alikuwa mwepesi sana .
 
Mkuu, Huyo Mmasai anakuwaga mtata sana! Baada ya kuacha kuvaa mashuka ya rangi nyekundu na kuacha kushika rungu mkononi anajiona mjanja kweli Kweli!
Nilishangaa Jana alikuwa mwepesi sana .
Iselamagazi. Mkuu kuna vitu naviona hapa....wahenga walipoweka wazi kuwa kuchamba kwingi..... ...na ni vyema kila kitu kiwe na kipimo chake..kuongea kuwe na kipimo,kusikiliza kuwe na kipimo hali kadhalika na ujuaji nao uwe na kipimo....ukizidisha ujuaji matokeo yake utamix madesa,ujuaji wa kwenye kuchunga ng'ombe ukauleta na kutaka kuutumia kwenye kulima lazima kutakuwa na mushkeli tu sehemu..
Nadhani nimetoa 'cash' bila installments...
 
Last edited by a moderator:
Rashid CHARLES - hata jina halikukaa sawa. Tatizo la vyombo vya usalama Kenya wanataka konyesha wanafanya kitu kupunguza lawama kutoka kwa wananchi vipi wanashindwa kulinda Amani,
 

Daaanh perception is illusory.. . . . . .
Kujitutumua sijui kuonesha umwamba na kubeza wengine ni mapokeo zaid kuliko objectivity...........as you kept it tutunziane heshima mkuu itakuwa heri sana........hakuna harm iliyokusudiwa kwa maelezo hayo husika
 


Kumbe you deserved the shyt.............kama ujuaji ni suala la ku wish basi unakuwa nawe wish uwe naandika ninachojua beyond doubt na naweza kukisimamia mpaka mwisho wa tone la damu....................you are nothing more than a positivist of the lowest order
 
Mkuu, Huyo Mmasai anakuwaga mtata sana! Baada ya kuacha kuvaa mashuka ya rangi nyekundu na kuacha kushika rungu mkononi anajiona mjanja kweli Kweli!
Nilishangaa Jana alikuwa mwepesi sana .


Ujanja we unaupimaje kwa maandiko ya hapa!!!???
A kite remains so because of the string...........I hold mine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…