macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,241
- 56,892
mshana jr . Mimi sitajadili ujumbe ulio kwenye tangazo kuwa ''usipojua kiingereza kwa fedha'' bali nataka kujadili kipengele cha punguzo la laki tano kwenda laki mbili. Hizi kwenye biashara wanaita ''psychological prices''. Ni mbinu za kufanya mnunuzi avutiwe na bidhaa kwa kuona kuwa amepunguziwa! Unajua hata dukani ukiweka label ya bei kuwa bidhaa lilikuwa sh 10,000 lakini sasa ni sh 7500 wanunuzi watafuvutiwa zaidi. Au label ya bidhaa inaandikwa sh 9,999 badala ya 10,000. Ni mbinu tu ya biashara na inakubalika!Kinachokera radio za kidini ndio zinarusha haya matangazo
Laki tano kama sikosei,
Ahsante, laki tano duu! lakini sio mbaya ngoja niaze kudunduliza.Laki tano kama sikosei,
la saba utapigwa usaili ukiweza unaenda ukibuma wanakwambia kajipige msasa kidogo kisha urudi tena.
Wanazingatia, Kusikia na kuelewa, sasa kama huelewi hata kidogo kinachozungumzwa, darasa lazima liwe gumu.
Karibu sana.Ahsante, laki tano duu! lakini sio mbaya ngoja niaze kudunduliza.
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Matangazo ni kujinadi tu hats kama hakuna uhalisia matangazo mangapi yanatoka na mambo yasio na uhalisia mf matangazo ya cement, sabuni na magodoro. Kisheria yanaruhisiwa inajulikana km Invitation to Treat kwamba katika tangazo la kujinadi si lazima upate kile kinachotangazwa.Jamaa kawekeza mno kwenye matangazo.
Sijajua kama kuna uhalisia kati ya matangazo na elimu inayotolewa.
unakosea sana ndugu yangu ku generalize tatizo la mtu mmoja kuwa matatizo ya watu wote,how sure you are kuwa wewe sio punguani??sometimes kichaa huona wengine hawana utimamuSijawahi kukutana na Ras mwenye akili sawasawa katika tembea na maisha yangu yote popote pale nilipokuwa, hivyo sishangai hayo Mazingaombwe ya Kisanii ya huyo Ras Simba wenu.
Mara 5 ya kwa ras simba kabla ya punguzo
si mchezo inabidi tu tukomae na hizi yes no zetuMara 5 ya kwa ras simba kabla ya punguzo
Ila kizur gharama
Dk Mwaka nae alikua hivi hivi kukbe kina mama wakienda wanapewa unaga wa maranda ya mbao mpaka mtu katajirika.
Hii nchi bwana. Dereva nishushe tafadhali
Sasa sijui kwanini hawampeleki magogonikwa igp akasaidie kulehivi huyo bwana mdogo anajua kiingereza kweli au ni blah blah"
Wengi wanaotoa matangazo na vipeperushi vya kujiunga na Freemason ni ...wachaga..aka.. matapeli, jamaa mmoja kauza bodaboda yake kwa 600,000 akawatumia ili ajiunge, baada ya kupokea hizo hela...simu yao haipatikani teeeeena. Jamaa anatembelea ndala zenye ranging tofauti. Watz wazijua fursa, wako tayari kusajiri simu zao kwa jina la shetani--ibirisi mradi wawaibie wajinga.Nchi ya Wadanganyika kila habari inayotangazwa au kuzungumzwa sana raia nao wanaenda hivyo hivyo. Ni kama matangazo ya kujiunga freemasons uswahili kila kitaa tangazo cjui mamlaka ziko wap