Ras simba tuhurumie

Sijawahi kukutana na Ras mwenye akili sawasawa katika tembea na maisha yangu yote popote pale nilipokuwa, hivyo sishangai hayo Mazingaombwe ya Kisanii ya huyo Ras Simba wenu.
 
Mimi nadhani hawa watu wanamaanisha kujua kusalimiana,kutaja ulikotoka au unakokwenda na kununua bidhaa kwa kiingereza ndani ya siku 56!
Labda kama hivyo English huwezi ijua mpaka usome Grammar ili uwe na uwezo wa kuwa competence na sio performance ukawa unaropoka tu bila kuchunga Sheria za Lugha ya watu sasa uyo Ras kwa siku 56 atakufundisha nini kweli mpaka uijue Grammar?
 
Sijawahi kukutana na Ras mwenye akili sawasawa katika tembea na maisha yangu yote popote pale nilipokuwa, hivyo sishangai hayo Mazingaombwe ya Kisanii ya huyo Ras Simba wenu.
Mara nyingi watu kama wewe ndio mnao amini et Rasta ni uhuni. Yakupasa ufungue fikra zako kutoka katika utumwa wa fikra...
 
Hivi aliyesema frent foji ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…