Huyu Ras Simba ni pumbavu sana, nilitaka kuingia mkenge wakati namtafutia kijana wangu nafasi za pre form one akaniambia ada ni 400,000/=ila nikilipa leo ni 100,000/= hii ni kwa watu 50 wa kwanza. Nikajiuliza sana, nikafanya utafiti kwa waliopitia kwake, nikaambiwa ni wa kawaida hana tofauti na wengine, tena hana mfumo mzuri kama unaotolewa na secondary, nikashauriwa na headmaster mmoja kama unataka ubora wa elimu ya mwanao mpeleke........(majina yamehifadhiwa, sitangazi biashara hapa)
Angekuwa yeye mwenyewe anatupa mfano kwa kuongea kiingereza mwisho wa tangazo lake..
nadhani anajua kiwango chake ndo maana anapeleka kwenye radio za dini kwa kuwa anjua wasikilizaji wa redio za dini hawako makini, wengi sio watu wa ku reason..
Apeleke ITV au Azam kama hajapata anguko kuu