Rare to find:Old bongo Fleva Music

Rare to find:Old bongo Fleva Music

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,341
Reaction score
88,511
Waungwana kuna mipini nime-attach hapo ya 90's quality yake sio nzuri sana lakini inasikika
Kama kuna mtu anazo zenye quality nzuri aweke humu jamvini
1.DPG-Rudi Mpenzi---1999
2.Afro reign ft Hashim - Saa za Kazi -1996
3.Sos B - Kukuru Kakara Zako -- 1996
4.Mawingu- Oya Msela --- 1995
 
Attachments

Dah, asante sana mkuu, kama vp tupia na nanakutesa wa Soggy Doggy Hunter.

Yap hyo trak naitafuta sana kiongoz pia ni ile aliyoimba na unique sisters nikisema need i need you too nlikuwa nazo sema jamaa aliformat hdd kibahati mbaya.

====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================
 
wapi inspecta haruni na dili mpeto masela wamebarizi

Ha ha ha ha kuna trak walichana Masharp shooters sauti ya miujiza ubandidu 96 hits nomaa,baadae nitaatach wimbo wa hashim dogo in the shadow

====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================
 
aisee saidia kuweka ya Diplomatz-Are u down.
nimeikumbuka kinyama!

Haina noma kiongozi baadae.

====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================
 
Waungwana kuna mipini nime-attach hapo ya 90's quality yake sio nzuri sana lakini inasikika
Kama kuna mtu anazo zenye quality nzuri aweke humu jamvini
1.DPG-Rudi Mpenzi---1999
2.Afro reign ft Hashim - Saa za Kazi -1996
3.Sos B - Kukuru Kakara Zako -- 1996
4.Mawingu- Oya Msela --- 1995

Mkuu tembelea hiyo link hapo chini utapata hits za kipindi hicho kibao, Maskini jeuri by Manduli Mob ft Juma Nature is my feva
Manduli Mobb Ft Juma Nature - Maskini Jeuri | Muziki.net
 
Hashim aka Dogo-In The Shadow

Hashim In The Shadow.JPG
 
Yap hyo trak naitafuta sana kiongoz pia ni ile aliyoimba na unique sisters nikisema need i need you too nlikuwa nazo sema jamaa aliformat hdd kibahati mbaya.

====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
====================

Huo wimbo mkuu Soggy aliimba na Dataz,ndo wimbo wa kwanza wa Dataz.
Soggy:baby I love u
Dataz:I hate U
Soggy;I love u
Dataz:I hate u so much like now
Soggy:nakupenda
Dataz:sikupendi
Soggy:nakupenda
Dataz:sikutaki tena....

Enzi hizo Dataz bado alikuwa anasoma Ifunda kama sikosei.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
aminia mzee iyo mida ya kazi ni bonge la pini....'kufungua mawazo, funguo kambi unazo....kuirudi km kitasa...
 
hii hapa ya solothang aka ulamaa-homa ya dunia........
aisee kama kuna mtu ana yoyote kati ya hizi ...nazitafuta saana..
-artful dodgers (Mapacha0,big 4da geez(geez mabovu), fid q, na squeezer- TUPO TOWN
-Big 4da gees (Gees mabovu)-CHAUSIKU ft daz mwalimu, SERO ft. noor elly
-Squeezer ft dataz- MR AFISA
Dollo ft juma nature-JELA
 
Attachments

Mtanganyika mtoto wa Africa - Juma nature na jamaa nimewasahau
 
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus
'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2,
Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani,
Mwanga anaetutupia majini ni jirani,
Naiombeni waungwana.
Na nyingine ni ile mapato ya nature na bamboo wa kenya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom