blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 10,638
- 12,864
- Thread starter
- #21
Kwani hii chuki kali.. Of which Im seeing outa you... Itakusaididia nini..Sisi wazee rap tushamalizana na akina Jay moe prof jay solo thang
Baadae wakaibuka akina Joh makin Mangwear Chid benzihno
Sasa hawa watoto wa leo rap zao sizielewi kabisa ni vile nimezeeka nn
Support this new beginning...