Rangi za kucha zina SUMU !!!

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
2,454
975
Wana JF,
Nimeona kwenye Yahoo kuwa rangi za kucha zina sumu. Angalieni hapa:-

SAN FRANCISCO (AP) —
Some nail polishes commonly found in California salons and advertised as free of a so-called "toxic trio" of chemicals actually have high levels of agents linked to birth defects, state regulators said Tuesday.
The use of the three chemicals in nail products is legal if properly labeled. But agency officials said the false claims may violate a state law that requires disclosure of harmful chemicals in consumer products. The state attorney general could decide whether the companies will face legal action, which can include fines and an order to attach warning labels.


Sana, Hofu yangu mimi ni hizi rangi za kucha tunazotumia huku Tanzania, Je rangi hizi ni salama ??
Maana rangi zenyewe nyingi ni za kutoka China !!!
Isije kuwa kama lile swala la Maziwa yenye sumu toka China.

Source:- http://news.yahoo.com/calif-finds-toxins-non-toxic-nail-polishes-135941395.html
 
Tuwaambie madada zetu/mama zetu/watoto wetu/mashemeji zetu/mashangazi zetu/na wanawake wote japo kwa sasa wameingiwa na ubovu/upungufu wa akili na wanatamani kutembea uchi/nguo za kulala kutoka nazo/ mchana ila tusichoke kuwaambia japo ni kazi sana kuongea na mgojwa wa akili hata ukimdhibitishia bado atakuona wewe ni kichaa/huelewi uzuri/jinsi anavyovutia akitumia " WASAIDIWE MAANA WENGINE WANADHANI KILA KITOKACHO NJE NA YEYE KUTUMIA BASI NI UJANJA/UZUNGU"
 
Mu -israeli wala usipanic sana 100% ya cosmetics zote wanazotumia wanawake ni sumu. tatizo ni dose tu na immunity uliyonayo wewe mlengwa. mfano hizi rangi mara nyingine zinawekwa heavy metals ndani yake kama lead kea % ndogo lakini lead inajulikana kuwa ni sumu, na siyo hiyo tu kuna kemikali kama cadmium n nyingine nyingi.

ukitaka kupona achana na urembo wa madukani.
 
Itabidi tuwe tunapaka hina sasa au nayo ina madhara??

Itabidi dada zetu waachane kabisa na vipodozi.
Mimi naona wanapendeza zaidi wakiwa Natural, yaani wakiwa hawajajipodoa.
M-dada akijipodoa naona kama vile hajiamini jinsi alivyoumbwa, kiasi cha kumkosoa muumba wake kwa kuweka vipodozi !!!
 
Back
Top Bottom