Rangi ya mwaka

Rangi ya mwaka

He he he he, nimegundua watu wengi sana hawawezi anyalyse thin section za miamba. Colour blind huh!
 
ukute ana matumizi nayo..kama kuchagua rangi maalumu kwa ajili ya harusi yake n.k n.k
Hivi kwanini watu wanapenda kujishughulisha na mambo ambayo hayana maana? Hiyo rangi anaichagua nani na ina maana gani? Ukiambiwa mwaka huu rangi yake ni kama ile ya kinyesi?
 
main_banner.jpg
 
iv nani mwenye jukumu la kuchagua hizi colour of the year na kwanini awe yeye?
 
Back
Top Bottom