Rangi ya ch*pi

Nyumba ndogo inapewa priority bwana. Katiba tupa kulee. Huyu jamaa lazma mbunge. anajidai yuko busy kumbe anamwiguku wenzie fb!
Hivi nyumba ndogo hazivai kyupi? Na zikivaa zinakuwa colourless? Au zenyewe hazisumbui usomaji wa katiba?

Hahaha tong za kiume ama Q-string hizi? Majanga!
 
I completely agree with you. Kwanza nitashangaa kwa nguvu mweeh. Sasa nimemuelewa Dark City mshtuko anaopata tukiongelea kubusu na kulamba miguu. Hapa na mie naukubali uzee.
Hahahahaha, najaribu kupata picha ya My Boo akiwa amevaa hii
Hakyanani tena this could be a valid reason to break up with him
cc: AshaDii
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na wewe asilimia zote. Dr. Massau alikuwa mzalendo wa kweli. Aliacha kazi majuu (Texas) ili kuja kuhudumia nchi yake. Nakumbuka alikusanya vifaa vya hospitali vilivyokuwa havitumiki tena huko, huku kwetu vikiwa havijafika, akaja kuhudumia ndugu zake. Nilikuwapo aliponyanyaswa kwa kukataliwa msamaha wa kodi. alipigana hadi vikatoka, akaanza kutoa huduma kwa wanyonge ambao hawakuwa na uwezo wa kwenda India au Ujerumani. MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA HUKO ALIKOTANGULIA.
 
umeona eh? Ila kawaida wanaotangaza vyupi vya kiume ndio wako hivo

Vyupi hivyo mtu utavaaje sasa au ndio kushindana na Bikini na sisi twende na wakati?

Mimi naweza kuvaa Boxers tu hizo nyingine huwa naziona hazinipi uhuru kabisa.
 
Hayo yana thread zake, nenda huko utayakuta. hapa acha tuongelee chupi.

Mimi napenda a match na rangi ya nguo alizovaa. akishindwa hapo, basi nyeupe.


 

i will never get tired of JF
 
Kwa kweli tong za kiume lazima ukimbie kidogo, hasa akikugeuzia mgongo

Nyumba ndogo inapewa priority bwana. Katiba tupa kulee. Huyu jamaa lazma mbunge. anajidai yuko busy kumbe anamwiguku wenzie fb!

Hahaha tong za kiume ama Q-string hizi? Majanga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…