Rangi nzuri za kuzingatia kwa uandishi wa nyuzi humu jamvini hizi hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rangi nzuri za kuzingatia kwa uandishi wa nyuzi humu jamvini hizi hapa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Thinker96, Mar 9, 2012.

 1. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu wa jamvi kwa heshima na taadhima kuna wataalamu walionaujuzi juu ya rangi ipi inafaa na ipi haifai kwa ujuzi wangu ule mdogo nilionao kuna baadhi za rangi jamani tusipende kuzitumia kwani hazifai kwa usalama wa macho yetu kama rangi nyekundu,pink,kijani, na bluu bahari wapenzi sio nzuri kabisa ni nzuri kama utatumia kunote kwani zina mionzi mikubwa na uwezo wake wa kuonekana ni mkubwa sana hazifai wapendwa,na kuna rangi ambazo zina mashiko na zinashauriwa nazo ni bluu na nyeusi hizi ni nzuri sana wanajamvi kwa uandishi wa nyuzi zetu. Nawashukuru wakuu nipotayari kukosolewa na yule anayeijua kweli na utayari wake wa kuelimisha wanajamvi.
   
Loading...