Iyo husababishwa na asidi ya jasho lako, unapokuwa na jasho kali hii ni rahisi kutokea, wakati mwingine huwakabili sana watu wanene kuliko wembamba kwani kwapa hushindwa kupumua na hinyo jasho huunguza ngozi ya kwapa lako lakini pia kuna wembamba ambao hukutwa na hali hii tatizo ni hilo jasho1

fanya hivi kupunguza ama kuondoa tatizo:

-OGA MARA KWA MARA UKIOSHA KWAPA LAKO KWA SABUNI KAMA DETTO

-NYOA NYWELE ZA KWAPA KWAKUTUMIA DAWA {KAMA UTAPENDA} USITUMIE NYEMBE ZITOAZO VIPELE

-HAKIKISHA UACHI NYWELE HIZO ZIWE NDEFU

-DHIBITI JASHO KALI KWA KUPAKA MAJI YA LIMAO KILA SIKU AU MARA TATU KWA WIKI BAADA YA KUOSHA KWAPA/KUOGA USIKU

-JARIBU KUPAKA PODA KWAPANI KILA MARA BAADA YA KUOGA KUZUIA JASHO KUKUUNGUZA

MWISHO JARIBU KUNYWA MAJIMENGI KUPUNGUZA ACID YA JASHO

Huwa napata burudani pale napomuona binti na kwapa jeusi lakini yeye wala hajali...full kucheza mikono juu...
wengi hawajui! Wanatumia carolite
si bora weusi wa kwapa kuliko hairy! lol!
HELLO UMEPOTELEWA WAPI MKUU SIKUONI KULE CCKweli kabisa...the view disgusts...