Rangi nyeusi kwapani

Old Moshi

Senior Member
Jul 31, 2011
118
32
naombeni kuwauliza wakuu. Weusi wa kwapani unasababishwa na nini na unawezaje kuuondoa?? Asanteni.

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,103
5,039
Iyo husababishwa na asidi ya jasho lako, unapokuwa na jasho kali hii ni rahisi kutokea, wakati mwingine huwakabili sana watu wanene kuliko wembamba kwani kwapa hushindwa kupumua na hinyo jasho huunguza ngozi ya kwapa lako lakini pia kuna wembamba ambao hukutwa na hali hii tatizo ni hilo jasho1

fanya hivi kupunguza ama kuondoa tatizo:
-OGA MARA KWA MARA UKIOSHA KWAPA LAKO KWA SABUNI KAMA DETTO
-NYOA NYWELE ZA KWAPA KWAKUTUMIA DAWA {KAMA UTAPENDA} USITUMIE NYEMBE ZITOAZO VIPELE
-HAKIKISHA UACHI NYWELE HIZO ZIWE NDEFU
-DHIBITI JASHO KALI KWA KUPAKA MAJI YA LIMAO KILA SIKU AU MARA TATU KWA WIKI BAADA YA KUOSHA KWAPA/KUOGA USIKU
-JARIBU KUPAKA PODA KWAPANI KILA MARA BAADA YA KUOGA KUZUIA JASHO KUKUUNGUZA
MWISHO JARIBU KUNYWA MAJIMENGI KUPUNGUZA ACID YA JASHO

asante mkuu. Nitalifanyia kazi

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
814

kwa kweli...! manake kuna mabinti sehemu za siri hazifai...! kama mkaa..! thnx mkuu

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,327
Huwa napata burudani pale napomuona binti na kwapa jeusi lakini yeye wala hajali...full kucheza mikono juu...

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,611
7,787
Hivi hapa issue ni rangi kuwa 'nyeusi' au kubadilika rangi ya kwapa.....kama kwapa la mleta mada lingebadilika na kuwa 'jeupe', wakati mleta mada ni mweusi bado ingekuwa ni issue kwake?

Hii hali ya kuona rangi nyeusi ni duni ina gharama kubwa sana....kuna wadada wanafikia mahali wanajichubua mpaka wanakuwa kama vinyago!

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
310
Alafu zile sehem nyeti kama Kwapani na kwa bibi hata mkologe azikubali
utamkuta demu sehemu nyingine mweupe lakini sehemu nyeti kwa bibi kweusi sasa sijui tatizo nini?

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom