Nimeingia cha kike nimeuziwa kitu ambacho siyo "spray". Je, ni nini hiki?

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Nilienda shop nikakutana na hii kitu nikamuuliza muuza duka ni mdogo tu (wa kiume) nazani kawekwa hapo shop kama mfanyakazi nikanogewa na ili kopo nikamuuliza kwani hii ni spray akaniambia ndio nikanusa juu ya kizibo nikaona inanukia poa bei sh elfu sita.

Jana kulikuwa na pati somewhere nikavaa gauni langu jeusi nzuri kabisa, nikasema ngoja sasa nichukue spray nipulizie kwenye gauni nikashangaa kuona sehemu zote nilizopulizia zina asili ya unga unga sasa nauliza hii ni kitu gani jamani au inatumika kwenye nini? "Nimesoma comment zenu mmeniambia ya kwapani,nimejaribu kupulizia kwapani mbona kwapa linakuwa jeupe kama powder kwaiyo nikishapuliza naacha ivyo ivyo ayo mapowder?
 
Attachments

  • Screenshot_20231027-110632.jpg
    Screenshot_20231027-110632.jpg
    16.2 KB · Views: 6
Huku kwetu tunaiita mashikolo mageni...🤣
Umetisha sana...😜chukua maua yako mwali...🌹
 
Nilienda shop nikakutana na hii kitu nikamuuliza muuza duka ni mdogo tu (wa kiume) nazani kawekwa hapo shop kama mfanyakazi nikanogewa na ili kopo nikamuuliza kwani hii ni spray akaniambia ndio nikanusa juu ya kizibo nikaona inanukia poa bei sh elfu sita.

Jana kulikuwa na pati somewhere nikavaa gauni langu jeusi nzuri kabisa, nikasema ngoja sasa nichukue spray nipulizie kwenye gauni nikashangaa kuona sehemu zote nilizopulizia zina asili ya unga unga sasa nauliza hii ni kitu gani jamani au inatumika kwenye nini?

View attachment 2794394
itakuwa 'imeekisipayari'
 
Kuna vitu vya kupuliza kwenye ngozi na kuna vyabkupuliza kwenye nguo. Alaf zmanukato ya 6k dah si upepo mmoja yameisha
 
Nilienda shop nikakutana na hii kitu nikamuuliza muuza duka ni mdogo tu (wa kiume) nazani kawekwa hapo shop kama mfanyakazi nikanogewa na ili kopo nikamuuliza kwani hii ni spray akaniambia ndio nikanusa juu ya kizibo nikaona inanukia poa bei sh elfu sita.

Jana kulikuwa na pati somewhere nikavaa gauni langu jeusi nzuri kabisa, nikasema ngoja sasa nichukue spray nipulizie kwenye gauni nikashangaa kuona sehemu zote nilizopulizia zina asili ya unga unga sasa nauliza hii ni kitu gani jamani au inatumika kwenye nini?
Mbona picha umeipakua mtandaoni
 
Back
Top Bottom