labda ni mimi tu sipendi maua mauaIla hapo ukiangalia vizuri kuna za rangi moja pia halafu hizi shati ni slim fit(kama modo haziwi za kuachia)so unaweza chomekea au ukaachia zinakaa poa na hizo za maua zinapendeza pia mana rangi zake si kali
polka dots zipo poa
Mungu akipenda nikapata pesa ntapiga mega purchase ya hizo pamba