jana nikiwa katika pitapita zangu maeneo ya afrikana mbezi beach nikakuta wema amesimamishwa na maofisa wa TRA na polisi wenye mitutu wakaikagua iyo gari na kisha wakaondoka nayo wakiwemo hao maaskari....gari iyo ilikua na namba zinazosomeka: AEK 101 MP