Range Rover Sport na Caravan vipo sokoni.. Beii nafuu mno

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
Range Rover Sport, Condition Nzuri imetembea 75,000km.
Na Caravan vilevile.. Kwa bei na picha angalia http://www.jontwa.webs.com
Nimeweka picha na contact zote katika website hii. Tuwasiliane kwa yeyote anayehitaji
 
Aiseee baba yangu hayo magari yako soko gani??? Kibororoni mwika mamsera au moshi sokoni

ngoja nikate kiu na mbege huku nikisubiri majibu
 
Range Rover Sport, Condition Nzuri imetembea 75,000km.
Na Caravan vilevile.. Kwa bei na picha angalia Jontwa
Nimeweka picha na contact zote katika website hii. Tuwasiliane kwa yeyote anayehitaji

Kwa bei hiyo bora kuagiza mwenyewe UK...or mtu aende zanzibar pale anapata kwa bei nzuri tu.
 
Back
Top Bottom