kwa nini usinunue escudo(make na hiyo ni offroad bomba sana) then hiyo hela ya ziada na ya wese ukasaidia kusomesha mtoto wa maskini 1? Tusaidiane kupambana na umaskini jamani sio kupambana na respect barabarani.
Ni wazo tu.
Kwa nini usinunue escudo(make na hiyo ni offroad bomba sana) then hiyo hela ya ziada na ya wese ukasaidia kusomesha mtoto wa maskini 1? Tusaidiane kupambana na umaskini jamani sio kupambana na respect barabarani.
Ni wazo tu.
Mkuu.... kila mtu anapanga na kuchagua how to use their money...mwingine atataka Escudo...mwingine beetle/kobe..mwingine atataka corolla mradi ni uwezo na uchaguzi wa mtu.
Ukiuliza kwanini ..hakuna jibu rahisi ndugu.Labda swali kama hili tungeuliza wenye kutumia pesa ya kodi za wananchi kununulia magari makubwa ya gharama kubwa kuendesha na kutengeneza.
LOL
Mkuu karibu katika Club.
- The most highly sophiscated and comfortable 4WD combining Luxury and Off Road Driving
- High Fuel Consumption but good Performance particular on Safari
- Hakuna kupiga nyundo Mkuu, mambo yote CMC, spares exremely expensive and no Fabrications
- Commands Class and Respect. Everyboady looks at you on the Road.
Ushauri: Water finds its own level. If it is your level, go for it.
maelezo zaidi unaweza kuuliza tu!
kwanza niseme tu asante sana super man, na nimekugongea haki yako kama kawaida. pia shukrani kwa wadau wote walioonesha concern, pamoja na kuwa wengine hawakunielewa vizuri. Mm siyo fisadi na wala sifanyi kazi serikalini, ni mjasiriamali mdogo sana tu. ila niliposema RR nilimaanisha 4.6 HSE, wala siyo VOGUE (sijawa na mil80 ya kununua gari!). Kutokana na kazi zangu naenda sana shamba, pia naenda sana crossborder, hivyo nahitaji gari ambayo ina pull kubwa, confotable pia tofauti kidogo ofcz!. Pamoja na majibu mazuri ya wakuu, bado nimebaki njiapanda, sijapata sgstions kwamba unaonaje khs gari hii, au hii. Toyota sawa, lakini toyota gani? nataka kitu tofauti kidogo wazee, hata kama ni toyota. Najua hapa hapa kuna watu watasababisha nifikie uamuzi wa busara na kupata gari nzuri tu. Pia kuna mdau alinidokeza kuhusu Jeep Grand Cherokee, mwingine akasema Toyota JL lakini nikaona bei za JL hazishikiki. Heshima mbele kama kawaida wazee
Naipenda tanzania ndy maana bado nipo bongo, kilimo kwanza.
Roho/akili hizi hizi ndo zimekaa maofisini zikiamua magari gani ya serikali yanunuliwe. Kwa hiyo basi, m2 kama huyu anayetaka kununua rangerover wakt akijua kuna watz wenzake wanataabika, hana tofauti na yule anayenunua magari ya thamani ya serikali huku walipakodi wakila vumbi. Am sorry Amoeba, lakini napata feeling kwamba hata wewe 2kikuweka ofisini utakimbilia kununua hayo ma-offroad!!
Ni mtazamo tu, i stand 2 be corrected
Kwa nini usinunue escudo(make na hiyo ni offroad bomba sana) then hiyo hela ya ziada na ya wese ukasaidia kusomesha mtoto wa maskini 1? Tusaidiane kupambana na umaskini jamani sio kupambana na respect barabarani.
Ni wazo tu.
seems una hela za mawazo ushauri usibuy hizo unazotaka otherwise daily utakuwa unasababisha jam barabarani kwa kuishiwa mafuta, kama shamba nenda for cruiser mkonge au nissan patrol dume zitakufaa,au hilux 2.8 its okay,othewise utaumia kama unaweka mafuta ya kupima 5000,duh!!