Mkuu Superman,
Asante kwa mchango wako na ushauri wako mzuri. Ni kwamba some two years ago na mimi nilichemka kutaka kukunua hiyo RR lakini ilibidi kwanza nikamuulize fundi wangu anipe mawazo yake. Kwa kweli aliniambia kama ulivyosema hapo na akaniambia hayo magari yanasumbua sana hasa upande wa spare parts kwani mtaani hazipatikani ukitaka mpaka uende CMC na huko unagongwa bei chafu kupita kiasi. Hapo hatujazungumzia kiwese!!!!
Mimi nisingekushauri ununue hiyo kitu lakini inategemea economic base yako ikoje. Kupanga ni kuchagua lakini, uamuzi unao wewe.
Tiba
thanks kwa wote walio serious katika kusaidia, Kwa wale wenye kuchekesha umati pia asante, kwani bile ninyi maisha yatakuwa machungu tena marefu.
Kamanda;
- Kama utakuwa unatumia RR ukiwa DSM you can spend a minimum of TZS 30,000 for Petrol per day. Lakini ili uwe vizuri ni vema ukaweka TZS 50,000 ya fuel kwa siku. Fuel Consumption in average ni kati ya Lita 4-7 kwa Kilometa 1
- Service tenga kiasi cha kama TZS 250,000 say kila baada ya miezi 2-3.
- Spare parts vitu muhimu ni Air-Suspensin; Sensors; Brake System; nk. Bei zake ziko juu kidogo kama nilivyoonyesha hapo chini. Angalia pia: http://www.roverparts.com/Nxt/search.asp?page=1&keywords=Air+Suspension&btn-submit=&Dropdowndescription=Range+Rover+4%2E6+%28P38%29&Category=SUSPENSION+%26+STEERING
- Ukiondoa vitu hivyo na kama ni mtunzaji mzuri, RR ni gari nzuri sana na kuna watu akiuza RR ananunua RR. Ina ustahimilivu wa hali ya juu kwenye barabara mbaya wakati huo huo ikikupa Luxury.
- Performance yake/Pulling ni nzuri sana. Unaweza ku-hit hata 180 KM/H katika distance fupi sana na wala usijue kuwa gari inakimbia zaidi ya kuona jamaa nje wameacha midomo wazi hii ndege ya chini inatoka wapi. Mfano DSM-Tanga unaweza ukaenda hata kwa masaa 3 tena bila pressure. Range ikiwa katika barabara mbaya inainuka yenyewe juu na kwenye lami nzuri yenyewe inashuka chini.
- Engine yange ni imara na inavumilia sana. Mara nyingi matatizo ya range si katika engine bali parts zingine tu.
- Kama ukiweka Audio System Nzuri, basi hutopenda utoke katika range. Ina vitu kama Weather Control nk.
- Ni hayo tu kwa sasa

Thanks mkuu, This is realy helpful!
Im proud of JF! thanks kwa mtu aliyeumiza kichwa kuiweka hewani! maxence, invisible na crue yote.
Kwa nini usinunue escudo(make na hiyo ni offroad bomba sana) then hiyo hela ya ziada na ya wese ukasaidia kusomesha mtoto wa maskini 1? Tusaidiane kupambana na umaskini jamani sio kupambana na respect barabarani.
Ni wazo tu.
superman yaelekea wewe ni mtaalam wa haya mambo vipi Land rover Freelander. huwa nazitamani sana kwa macho. is there any serious technical problem hasa kwa sisi watu wa bush.Kamanda;