Ramsey wa Arsenal na majanga

Ramsey wa Arsenal na majanga

skunk

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
166
Reaction score
27
Habari jamani samahani lakini kwa kuingilia mambo ya watu sababu Mimi si mshabiki wa Arsenal ila Huyu dogo kila akifunga Goli lazima utasikia balaa limetokea alifunga siku Osama alipo uwawa, then akafunga tena siku Gaddafi alipo uwawa, sasa juzi alifunga dhidi ya man city nikasikia shabiki mmoja akisema balaa hilo ndipo nami nikawa aware na current news but habari kubwa niliyoisikia ni kupigwa risasi sheikh Ponda sasa Eti inaweza Kuwa na correlation Kweli na holiday jambo
 
Umesahau pia kuna siku alifunga na Whitney Huston akafariki.
 
Washabiki wa arsenal bana badala ya kusajili mnaleta utopia ideas hapa halafu ligi ikioamba moto mnaanza kulia lia
 
Sikuwa aware but most of em ambao hupatwa na majanga huusiana na kupigwa risasi

Ndio hivyo mkuu we siku ukiona Ramsey kafumga goli jua kuna watu maarufu wanakuwa hawana amani.
 
Washabiki wa arsenal bana badala ya kusajili mnaleta utopia ideas hapa halafu ligi ikioamba moto mnaanza kulia lia
Acha obsession bana...

Mbona muanzisha thread kasema yeye si shabiki wa Arsenal!....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom