Ramli ya kibano

Wingawinga

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
622
1,521
Ningependa kujua je hii ramili ya Kibano ina ukweli gani haswa pale kitabu kinapo zunguka. Je, kuzunguka kule kuna namna inafanyika kuizungusha kwa ujanja ama ni kweli huzunguka yenyewe?

Wasio jua ni kwamba unakwenda kwa mtaalam, yeye ana chukua Kitabu nadhani ni Msahafu , halafu aunganisha na Mkasi, halafu ule mkasi unaushika nyie wawili ya mtaalam na wewe, halafu mnaninginiza , huku mkiulizwa swali unalo taka.

Kama kitabu kikizunguka basi jibu ni ndio, kisipo zunguka sio.
 
Wajinga ndio waliwao, Maunyaunyau naye ana kimbunga, Mungu amekupa akili zitumie, kichwa kama Hakina akili ni mzigo kwa shingo.
 

Attachments

  • 1681065945014.mp4
    1.9 MB
Back
Top Bottom