Rami vs vumbi!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau samahanini mie nashidwa kuelewa kuhusu kuhusu safari za baiskeli hizi mbili nnapokuwa naendesha kwenye vumbi naona mwendo unakuwa mkali afu naona nipo kasi ila nnapokuwa kwenye rami nahsi mwendo hauendi japo speed ya kwenye rami na vumbi ni moja kuna mechanism gani hapa!
 
achana na kuendesha kwenye mavumbi coz thamani ya mwanamme iko kuendesha kwa mbele.
 
Back
Top Bottom