Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Akuna cha siku nyingi issue ni juzi bado hipi current,na kwa nn utoe rushwa?
 
Akuna rushwa ya siku nyingi ama ya leo,Kwa nn Maccm yenyewe ni damu damu na rushwa?
 
Mbona sioni rushwa yoyote...
zaid ya kuonekana kama wanabonga
na kanjubahi anatoa "fegi" mfukoni.

attachment.php

Yupo chini ya ulinzi
 
Back
Top Bottom