Ramani ya Nyumba

Ramani ya Nyumba

Tafuta wataalamu wakuchoree ramani unayotaka!
 
HIvi we unaishi Dunia gani kwani ninavyo fahamu wataalamu wa kuchora ramani wako kila sehemu.
 
HIvi we unaishi Dunia gani kwani ninavyo fahamu wataalamu wa kuchora ramani wako kila sehemu.

Mkuu naishi dunia hii uliomo ww ttz sio wataalam nnachotaka hapa ni upendo baina yetu kwani ukiniwekea hapa raman ya nyumba yako itabomoka? sasa unaonaje kama zikiwekwa raman 20 unafikiri ntakosa ya kunifaa?
 
Ficha upumbavu wako mkuu,unataka kujenga halafu unaogopa gharama Za ramani?Kama vp poa mpe Fundi apime hatua achimbe msingi then ajenge...

Kaka yawezekana ww ndo hujaelewa me nahitaji nyumba yangu iwe imepata mchango ktk jf we weka ramani 2 acha mambo mengi au hujajenga?
 
Kaka yawezekana ww ndo hujaelewa me nahitaji nyumba yangu iwe imepata mchango ktk jf we weka ramani 2 acha mambo mengi au hujajenga?
Mkuu nimeshajenga na mimi ni architect ila Haya mambo ya kupenda vya bure ndio yanatugharimu watanzania,fikiria mtu umepiga kitabu ardhi miaka kadhaa Leo waje watu Kama Wewe wa bure tutaendelea kweli?hats aliejenga hawezi kukuwekea Raman hapa coz ameilipia gharama zake,sawa mkuu?usiwe na akili ya tshet na kanga Za bure...
 
Goooooooooooooood! yaani sisi tusome wewe upewe bureeeeeeeeeeee, ila kama vp watafute mafundi waonyeshe kiwanja kisha wape maelezo faster utaona kighofu.......Yeeeeeeeeeees nimekumbuka pita maeneo ya ubungo mataa jioni kuna mzee anauza ramani ukiongea nae freshi hata buku 2 atakuuzia ramani ya ghorofa
 
Mkuu wataalam nawafaham ttz gharama nahitaji wanabodi mniwekee ramani za nyumba zenu then me ntachagua ya kunifaa
Ungekuwa Dar ningekushauri uende pale posta mpya mbele ya ofisi za mamlaka ya korosho Tanzania,kuna mchora ramani wa bei poa,yeye anauza kimachinga kabisa.
 
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish
Mkuu tembelea web kama hizi utapata idea ya kitu unapenda!!
logo.png
logo.png
logo.png

Ungekuwa Dar ningekushauri uende pale posta mpya mbele ya ofisi za mamlaka ya korosho Tanzania,kuna mchora ramani wa bei poa,yeye anauza kimachinga kabisa.

Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga
 
Back
Top Bottom