Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa!!

Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa!!

Jf bana why watu hamna mawazo yanayojitegemea , uzi ukifunguliwa comment ya kwanza ndio inatoa mwelekeo wa zinazofata angalia nyuzi kibao utagundua hilo sasa kumbe binadam wengi tuna asili ya manyumbu
 
Jitahidi uwe kama Joseverest.
 
Chukua hii
faa2241cd8e5e37499372637d4b63a67.jpg
Hii nimeipenda kiukweli
 
Lol how possible is that ??

Yaani mlango wa mbele na nyuma uwe jikoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa lakini? Nimekwambia kwa mkao wa ramani hiyo Tafuta neno Terrace hapo ukilipata basi jua hicho ni Kibaraza cha mlango wa mbele maana ukikichunguza hapo utaona mlango pacha
Na mlango wa nyuma utakua jikoni,kama hujanielewa mtafute fundi akueleweshe
N.B hapo palipochorwa viduara duara ndio mbele na mlango wake ukiuchunguza utauona huo pacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike mahali tuheshimu taaluma za wengine! Kama inawezekana kuomba/kutaka mchoro bure ilihali msanifu majengo anategemea kutoa huduma hiyo ya usanifu na ushauri basi tuende mbali zaidi kwa kuwaomba machapisho yao ya kitaaluma tuyatumie kitaaluma tusiokuwa na sifa husika na tuende mbali tena kwa kuomba watabibu sindano,mkasi,vifaa vya upasuaji ili kuepuka gharama za hospitali!
 
Umenielewa lakini? Nimekwambia kwa mkao wa ramani hiyo Tafuta neno Terrace hapo ukilipata basi jua hicho ni Kibaraza cha mlango wa mbele maana ukikichunguza hapo utaona mlango pacha
Na mlango wa nyuma utakua jikoni,kama hujanielewa mtafute fundi akueleweshe
N.B hapo palipochorwa viduara duara ndio mbele na mlango wake ukiuchunguza utauona huo pacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ramani iyo kwa kiwanja chenye size hii inawezekana kweli,kiwanja kina Upana mita 11 na urefu ni mita 15,hapo vipi
 
Back
Top Bottom