Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa!!

Ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa!!

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
372
Reaction score
306
Mdau kama una ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa, kuweka hapa utakuwa umesaidia watu wengi!!!
 
Kweli wangesaidia watu wengi pia ingekuwa na wao wanapata ujira kwa kuwajengea ....sema nini .... Hapa Tz tumesharithi ubinafsi sana
 
Mdau kama una ramani ya nyumba ya vyumba vitatu weka hapa, kuweka hapa utakuwa umesaidia watu wengi!!!
Chukua hii
faa2241cd8e5e37499372637d4b63a67.jpg
 
Najua watakuja wataalamu wa jambo hili na si wewe ambaye umetoa kisingizio cha kwamba kuna watu wamesomea!!
 
Back
Top Bottom