Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

Nangose 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,201
Reaction score
6,777
Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21).
Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi.
* Nyumba ya kisasa
*Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2
  • Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini.
  • Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye vyumba angalau 2 na
  • Choo cha nje
  • Nyumba yote na mabanda vitakuwa fenced
Je, kwa ukubwa huo wa kiwanja 840M² nitatoboa..?
 
Habari mkuu, Leo au kesho nitachora ramani Kwa kuzingatia hayo uliyotaja, nitaiweka hapa kama utaipenda utaniita tufanye kazi.
 
Kwakuwa ahadi ni deni, ramani hii hapa mkuu
Hii ni nyumba kubwa sana .

4 Bedrooms (mbili Zina choo ndani)
Sebule kubwa sana.
Jiko na stoo yake.
Dinning room
Choo Cha ndani cha Public.
Choo Cha nje sijakiweka hapo, unaweza kukiweka Chini ya Mnara wa Tenki la maji.
Vyumba vya nje vinapatika Kwa ukubwa wa eneo lako.

K Kuchora ramani inahitaji muda.
Hii nimejaribu kuchora kwa maelezo Yako uliyotoa.
Ikiwa haujaipenda na uko seriously naweza kutulia zaidi na kuandaa kitu Kwa namna Yako.
Karibu.!
New project (2)_1.png
 
View attachment 3491298
Sawa mkuu, ngoja niichunguze vizuri kwanza
 
Back
Top Bottom