Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

upo sahihi ila me mlango wa moja kwa moja bado sipendi kidogo kauchochoro kawepo
Practical design siku hizi hazina corridor nyingi. Corridors huongeza nafasi na ukubwa wa nyumba. Kukiwa na veranda then mlango wa kuingia lounge ni poa tu, hallway mara nyingi zinakuwa designed kwenye nchi za baridi kali.
 
sawa mkuu
 
Kuna dream house na reality house. Hii ya jamaa yetu ni reality house sio dream house kama usivyopenda kuingilia sebleni.

hahahaha..vijana mnapenda sana hii maneno ya dream house..ngoja uanze kujenga ndo utaujua mziki wa kuwa hata na kibanda. Sitishi mtu but construction aisee....ni shughuli! Unless unapata hela za akina Lugumi zisizo na accountability. Lakini kama ni hizi zetu za kuhangaikia 18hrs a day? Kwa dream house inabidi mtu ujipange.
 
Back
Top Bottom