Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

Mimi ni ARCHITECT ndugu ninachoona ramani yako ina mapungufu mengi sana kama utaona inafaa naomba tuwasiliane PM nikutengenezee ramani nzuri ambayo utaipenda na utafrahia
Weka hata ramani moja mkuu tuone, mana usijekua Architect jina.
 
1237Gorund_floor_Plan_40x55_NEWL.jpg
 
upo sahihi ila me mlango wa moja kwa moja bado sipendi kidogo kauchochoro kawepo
Najaribu kufikiria,nyumba nyingi hizi za vyumba 3/4 ndio ziko hivyo mlango unafungukia sebuleni. Zile kubwa hasa hasa za ghorofa ndio unakuta kuna 'reception room' kabla ya kuingia sebuleni au kwingine.
 
mkuu yangu ni ya chini vyumba vitatu lakini nilipambana na fundi mpaka nikapata kikorido yani na nikimaliza naweka picha kwenye kordo ukiingia unaona picha halafu sebuleni yani nahamu ningeweza kukuchorea ramani
 
Hiyo ramani umeichora mwenyewe...tafuta mtu akucholee...huwezi kujicholea ramani hujui vipimo...huna mipango madhubuti...kwa kifupi kama uliamua kuchora ramani ungetakiwa uzingatie bajeti yako kwanza kisha ndipo uchore ramano...chumba kimoja kinaingia tofari 300 itategemea na ukubwa 10*10 au lah....hivyo hapo huto pata msaada vinginevyp utoe vipimo
 
mkuu yangu ni ya chini vyumba vitatu lakini nilipambana na fundi mpaka nikapata kikorido yani na nikimaliza naweka picha kwenye kordo ukiingia unaona picha halafu sebuleni yani nahamu ningeweza kukuchorea ramani
Kwanini ulipambana? Hukupanga iwe hivyo kabla? Inawezekana ila unaongeza ukubwa
 
Enzi za kujenga nyumba kuuubwa zimepitwa na wakati, unajenga kitu kidogo ambacho kiko full equipped and practical.
Kuna rafiki yangu mmoja huko mkoani alikopa million 30 akajenga lijumba likuuuubwa matokeo yake hata fensi, garden, rangi vimemshinda.. Sasahivi anakimbizana na kuirudisha hiyo 30M akope nyingine amalizie vilivyobaki..

Bora ujenge nyumba ndogo ya room 2 za kulala then umalize kila kitu ikiwemo rangi, fensi, garden na garage kuliko kujitia mjuaji nyumba ikaishia kwenye linta..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi sana wanajenga nyumba kubwa zinawashinda, matokeo yake wanamalizia hovyo hovyo tu ili mradi iishe.
 
sipendi nyumba mlango unaingia moja kwa moja sebuleni... mkuu mpangilio wa vyumba nao embu tengeneza kona kona kwenye nyumba mtu asielewe haraka
Nyumba yenyewe ni box mama hata haijanibariki kumsaidia kujua bati ngapi znahitajika

rap beast
 
Back
Top Bottom