Ramani Hii Ya Nyumba, Naombeni Ushauri Wenu

Weka hata ramani moja mkuu tuone, mana usijekua Architect jina.

tazama hapo ndugu ramani tunachora kufuatana na maelekezo ya mteja
CL.JPG
CL.JPG
CL2.JPG
CL2.JPG
CL2.JPG

Weka hata ramani moja mkuu tuone, mana usijekua Architect jina.
 
Attachments

  • CL3.JPG
    CL3.JPG
    74.3 KB · Views: 218
Aisee...kwahio kajenga kinyume na ramani?!!
hahaha rrondo bana ha hahaha nacheka sababu sikuchora ramani na wala sikutaka kutoa hela ya kuchora ramani ila kuna sehemu nilimpeleka hiyo nyumba nilipenda nikamwambia nataka kama hii lakini nikamwambia ongeza sehemu na kuna kidume alikuwa ananisaidia kutoa maelekezo pia na baadhi ya pesa usitake nitoe siri zangu humu ,,,.. jua sikuchora ramani hah h ahaha
 
Wengi sana wanajenga nyumba kubwa zinawashinda, matokeo yake wanamalizia hovyo hovyo tu ili mradi iishe.
Wanavyopandisha tofali wanaona mambo rahisi rahisi tu.. Sasa tatizo linaanza kwenye finishing.. Nyumba inapigwa tiles vipande vipande, gypsum inaanza kufungwa living room na master bedroom yani ni full vituko..

Kuna wengine wanamcheka huyo mleta ramani wakati wao hata kiwanja hawana.. Mtu mwenye nyumba aliyeijenga kwa jasho lake na anazijua changamoto za ujenzi katu hawezi kumdhihaki huyo mtoa mada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha rrondo bana ha hahaha nacheka sababu sikuchora ramani na wala sikutaka kutoa hela ya kuchora ramani ila kuna sehemu nilimpeleka hiyo nyumba nilipenda nikamwambia nataka kama hii lakini nikamwambia ongeza sehemu na kuna kidume alikuwa ananisaidia kutoa maelekezo pia na baadhi ya pesa usitake nitoe siri zangu humu ,,,.. jua sikuchora ramani hah h ahaha
Kwani mimi ni mgeni na wewe? Nilitaka nishangae kama umempa ramani inakuwaje aache hio sehemu!
 
ha haha najua we si mgeni .. nimeshangaa unavyotaka kufukunyua ya shimoni yaje juu ?kwa heri
 
Wanavyopandisha tofali wanaona mambo rahisi rahisi tu.. Sasa tatizo linaanza kwenye finishing.. Nyumba inapigwa tiles vipande vipande, gypsum inaanza kufungwa living room na master bedroom yani ni full vituko..

Kuna wengine wanamcheka huyo mleta ramani wakati wao hata kiwanja hawana.. Mtu mwenye nyumba aliyeijenga kwa jasho lake na anazijua changamoto za ujenzi katu hawezi kumdhihaki huyo mtoa mada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofali zikisimama mziki unaanza kwenye roof.....sasa kama ulikurupuka tu unataka nyumba kubwa kama ya fulani cha moto utakiona!
 
Kuna rafiki yangu mmoja huko mkoani alikopa million 30 akajenga lijumba likuuuubwa matokeo yake hata fensi, garden, rangi vimemshinda.. Sasahivi anakimbizana na kuirudisha hiyo 30M akope nyingine amalizie vilivyobaki..

Bora ujenge nyumba ndogo ya room 2 za kulala then umalize kila kitu ikiwemo rangi, fensi, garden na garage kuliko kujitia mjuaji nyumba ikaishia kwenye linta..

Sent using Jamii Forums mobile app

ndio maana kaka nawaonesha vitu kama hivi maana nafanya mpaka design ya ndani
CL3.JPG
CL2.JPG
CL2.JPG
CL2.JPG
CL2.JPG
CL.JPG
 
Attachments

  • cl4.JPG
    cl4.JPG
    61.5 KB · Views: 137
Back
Top Bottom