Ramadhan Kareem!

Ramadhan Kareem!

hujakosea ndugu...ulichokisema kipo kwenye mstari ila kama mtu akiamua kutake offence hiyo ni juu yake.

It is a fact kwamba wanawake wanaovaa ninja (hijabu + nikai) wanaongoza kwa kujilipua

It is a fact kwamba wanaambiwa wakijilipua na kuua watu wanapata thawabuNim

It is a fact kwamba during ramadhani hawa watu ndo wanaitafuta hiyo thawabu kwa njia zote
So bottom line is what you said.....
Nilisema thawabu wakataka kuniua nikaomba radhi. Sikutaka kuwaudhi waungwana.
 
Pole kama nimekukwaza, lakini kuna trend ya wasichana kuvaa hivyo na kujilipua kwa vile atakwenda mbinguni! Ni hilo ninaloliogopa! Mwezi watoba si kwa vile tunataka kwenda mbinguni tunaogopa moto, hata wakristo wanakuwa na kwaresma ili watubu waende mbinguni.

Mungu akuongoze ,akuondolee dharau na kibri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom