Ramadhan Kareem!

Ramadhan Kareem!

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1434428209.380057.jpg
 
Asije akajifunga mabomu! maana ni mwezi wa kwenda mbinguni unakaribia

Acha kutukana watu CHUAKACHARA.

Mzungu akiua na "drones" raia wa kawaida, mnamshangilia na kumpa Nobel Peace Prize.

Mwezi wa Ramadhan ni mwezi mtukufu. Acha dharau.

Soma hapa jinsi drone MOJA tu, iluvyouwa raia wa kawaida, WATOTO 13 wasiohusika na vita:

.....Finally, on 15 October 2010, Hellfire missiles fired from a Predator or Reaper drone killed Hussain, the Pakistani Taliban later confirmed.

For the death of a man whom practically no American can name, the US killed 128 people, 13 of them children, none of whom it meant to harm.

A new analysis of the data available to the public about drone strikes, conducted by the human-rights group Reprieve, indicates that even when operators target specific individuals – the most focused effort of what Barack Obama calls “targeted killing” – they kill vastly more people than their targets, often needing to strike multiple times. Attempts to kill 41 men resulted in the deaths of an estimated 1,147 people, as of 24 November.

source:theguardian.com (UK)
 
Last edited by a moderator:
Acha kutukana watu CHUAKACHARA.

Mzungu akiua na "drones" raia wa kawaida, mnamshangilia na kumpa Nobel Peace Prize.

Mwezi wa Ramadhan ni mwezi mtukufu. Acha dharau.

Soma hapa jinsi drone MOJA tu, iluvyouwa raia wa kawaida, WATOTO 13 wasiohusika na vita:

.....Finally, on 15 October 2010, Hellfire missiles fired from a Predator or Reaper drone killed Hussain, the Pakistani Taliban later confirmed.

For the death of a man whom practically no American can name, the US killed 128 people, 13 of them children, none of whom it meant to harm.

A new analysis of the data available to the public about drone strikes, conducted by the human-rights group Reprieve, indicates that even when operators target specific individuals – the most focused effort of what Barack Obama calls "targeted killing" – they kill vastly more people than their targets, often needing to strike multiple times. Attempts to kill 41 men resulted in the deaths of an estimated 1,147 people, as of 24 November.

source:theguardian.com (UK)

Pole kama nimekukwaza, lakini kuna trend ya wasichana kuvaa hivyo na kujilipua kwa vile atakwenda mbinguni! Ni hilo ninaloliogopa! Mwezi watoba si kwa vile tunataka kwenda mbinguni tunaogopa moto, hata wakristo wanakuwa na kwaresma ili watubu waende mbinguni.
 
Unasikia raha gani kubadili mada nzuri yenye uhalisia wa kumcha mungu na kutenda mema?
 
Unasikia raha gani kubadili mada nzuri yenye uhalisia wa kumcha mungu na kutenda mema?

Pole sana, watu inapokuja dini huwa hawataki kuhoji doctrine za dini. Ukubali bila kuhoji, basi nimeacha nafunga maoni yangu.
 
Pole kama nimekukwaza, lakini kuna trend ya wasichana kuvaa hivyo na kujilipua kwa vile atakwenda mbinguni! Ni hilo ninaloliogopa! Mwezi watoba si kwa vile tunataka kwenda mbinguni tunaogopa moto, hata wakristo wanakuwa na kwaresma ili watubu waende mbinguni.

Acha dharau. Wewe unajuwa katika moyo wako kuwa hii picha haihusiki na mambo ya kujiripuwa bali inasheherekea utamaduni wa wanawake wetu kupaka hina na kupendeza.

Na kwa nini huogopi drone za Mzungu zaidi?

Numekuonyesha mfano mmoja tu wa mauaji ya watoto na drone za Marekani. Soma zaidi katika mtandao halafu niambie nani anaripua na kuua zaidi watoto na raia wasiohusika na ugaidi.

Kuwa mkweli.
 
Nimekosa nisamehe!
 
Fungeni kweli sio mnabadilisha tu ratiba ya kula....
 
Nimekosa nisamehe!

hujakosea ndugu...ulichokisema kipo kwenye mstari ila kama mtu akiamua kutake offence hiyo ni juu yake.

It is a fact kwamba wanawake wanaovaa ninja (hijabu + nikai) wanaongoza kwa kujilipua

It is a fact kwamba wanaambiwa wakijilipua na kuua watu wanapata thawabu

It is a fact kwamba during ramadhani hawa watu ndo wanaitafuta hiyo thawabu kwa njia zote
So bottom line is what you said.....
 
Hawa wanabadirisha tu ratiba ya kula hawana lolote

Kufunga Maana yake nini? Kwa mujibu wa Uislam Funga ina maana Yake na muda na masharti yake. Kutafsiri Funga kwa kutumia definition iliyopo kwny Imani tofauti na Uislam then una conclude kuwa hawafungi ni sawa na kupima akili kwa kutazama uwezo wa mnyama kukwea miti then una conclude kuwa Samaki hana akili Kw kuwa hawezi kukwea mti
 
Naomba mfungue uzi wenu wa kujadili dini.

Uzi wangu unasheherekea utamaduni na urembo wa wanawake wetu na hina na salaam za mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Fungua uzi mwingine kama una maoni ya kuandika vitu vingine zaidi ya kusheherekea mwezi mtukufu wa Ramadhan, hina na uzuri wa wanawake wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom