matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
kaimba Rama DEE.. huo sasa ndio wimbo lkn hizo nyingine hapana.. sijui kwa nini huwa hatupendi kusema ukweli na kuwaambia ukweli hawa wasanii.. badala ya kumwambia ukweli aimbe kuizidi utaambiwa ili a hit zaidi utakuta watu wanasifia tuu. huo wimbo wa kawaida sana kina Nurueli washaimba hizo miaka mingi iliyopita. Rama dee arudi kule kwa utaambiwa!! aimbe vile au zaidi ya vile uwezo anao aambiwe tu ukweli badala ya kuleta ushabiki maandazi hapa.
Kama wewe kipimo cha uzuri wa wimbo kuhit basi upe muda huu wimbo na uhakika utafanya vizuri, ila inaonekana wewe ni msikilizaji wa hit sio muziki mzuri, hivyo si kosa lako una haki ya kuandika ulichoandika....Tz hii kuna mashabiki wa Wacko Jacko wanaozifahamu Thriller naa Bill Jean pekee na wanajiita ni wapenzi wa king wa pop.