data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,883
Jamaa anajua sana kwa hii nyimbo mpya ya usiofie wachanga wasio mpenda watasubir sana
Anajua nini,, ivi unaanzaje msifia mtu anayetoa singo 1 in 5 year. Eti anajua. Anajua ku*nya au..??

csta tunajua una mapenz saaana na diamond au alikiba...hivi japo ulifikiri hata hii pia inakuhusu....???hebu dada angu kipenz tunajua unapenda saana kucomment...lkn sasa dada yetu mpendwa eti siku usipocomment sehemu ambazo hujickiii kucomment kwani utakufa mpaka huwa unajilazimisha...eti binti mrembo nijibu basi?dada angu asante ee nadhan hutarudia tena eee...dada natoka sema nikuletee zawadi gan?
mmmh hv rama d jamen si amerest in peace kama mwezi hivi, akiwa ndani ya basi from dar to Dodoma au huyu ni rama d yupi mweh!!!
Acha bangi dogo...
Acha utani wewe kikongwe jamaa yupo fiti bado umechanganya madesa
mmmh hv rama d jamen si amerest in peace kama mwezi hivi, akiwa ndani ya basi from dar to Dodoma au huyu ni rama d yupi mweh!!!
mmmh hv rama d jamen si amerest in peace kama mwezi hivi, akiwa ndani ya basi from dar to Dodoma au huyu ni rama d yupi mweh!!!
Anajua nini,, ivi unaanzaje msifia mtu anayetoa singo 1 in 5 year. Eti anajua. Anajua ku*nya au..??
just a loser.., hana jipya.
Binamu, aliyefariki alikuwa anaitwa Rama B (Ramadhan Zuberi)
Mmh Mwl utakuwa umemchanganya na mtu mwingine ...jamaa yuko hai
Anajua nini,, ivi unaanzaje msifia mtu anayetoa singo 1 in 5 year. Eti anajua. Anajua ku*nya au..??
Huyo aliyeimba "utaambiwa" ndo Rama d, aliimba pia na jide Ile " Kama huwezi"aaah poa binamu so aloimba "utaambiwa" ni rama d au rama b???
Huyo aliyeimba "utaambiwa" ndo Rama d, aliimba pia na jide Ile " Kama huwezi"
Diamond hawezi kabisa kumfikia Rama DeeJamaa anajua sana kwa hii nyimbo mpya ya usiofie wachanga wasio mpenda watasubir sana
aaah poa binamu so aloimba "utaambiwa" ni rama d au rama b???