ndutukomesha
Senior Member
- Apr 17, 2014
- 110
- 28
Jamaa anajua sana kwa hii nyimbo mpya ya usiofie wachanga wasio mpenda watasubir sana
Jamaa anajua sana kwa hii nyimbo mpya ya usiofie wachanga wasio mpenda watasubir sana
just a loser.., hana jipya.
rama D, grace matata, hawa wana vipaji sana tatizo nyota tu
Jamaa mkali! Hivi yupo hapa hapa bongo ama mbele? Big up zake sana
Rama sio loser, ana life.