BinamuMasikini jeuri ni msemo tu,usiuweke kwenye akili
Ni ujinga kufuata mkumbo, Sugu alipopewa chake akapiga kimyaSugu dhambi ya usaliti haitomuacha salama....Aliwatia wenzake kwenye ugomvi kwa maslahi yake binafsi
Credit: Lord EyezKikubwa wameyamaliza.jelous sio mzuka kaa tuongee ya maana.
Sisi sote ni vijana hakuna haja kulumbana.king
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hahaha sawa mjingamimi ila kama kuna mtu anakula haki yangu jelous inakua ndo mzuka wa mjiniKikubwa wameyamaliza.jelous sio mzuka kaa tuongee ya maana.
Sisi sote ni vijana hakuna haja kulumbana.king
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
title ilitakiwa iwe"rama dee akubali kuomba msamaha clouds",maana yeye ndo alienda kuomba yaishe na na sio clouds waliomba wao yaaishe au clouds na rama dee waliamua wakae chini yaisheBaada ya beef na mvutano wa muda mrefu baina ya Ruge (clouds media) na msanii Rama dee sasa wameamua kuzika tofauti zao
Itakumbukwa Rama dee ni miomgoni mwa wasanii waliokuwa wanaendesha kampeni ya ant virus kuidiss clouds na kujiita vinega yaani wanaharakati, lakini mpaka sasa
yamekwisha, wamesahau yote na muda huu kinega yupo live XXL na b12, mchomvu na wengineo wanareview mziki wa album wake na story zote zilizowahi tokea kipindi iko
Hongera Ruge kwa kukubali kusamehe na kuendelea kusonga mbele licha ya matusi na mabango mengi waliyokumwagia vinega!
Hongera pia kwako Rama dee, umethubutu.
Hii itakua somo kwa wasanii kama akina Ruby, muziki si bifu!
uko sahihi mkuutitle ilitakiwa iwe"rama dee akubali kuomba msamaha clouds",maana yeye ndo alienda kuomba yaishe na na sio clouds waliomba wao yaaishe au clouds n rama dee waliamua wakae chini yasishe
#bt yeye rama dee ndo kaend kuomba msamaha clouds yaishe!
[HASHTAG]#katika[/HASHTAG] kuweka kumbukumb sawa!
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
mastermind ruge hatari sana.watarudi tuwoote
Sahihi kabisa.Njaa mbaya sana ...huwezi pigana na mwenenacho
Anahasira za kuitwa shogaDozen ni kama alikua anamlazimisha jamaa aombe msamaha on air..
Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
Hahahaa! Nae Rama dee kaona hailipi kuomba msamaha kwene mic..Anahasira za kuitwa shoga
Alikua lina sanga ila alishindwaAti?
Ila Clouds Media kwa kutengeneza watu mbadala hawajambo...
Alivyoondoka Gardener Habash bado nikawa naisikia sauti ya jamaa kwenye matangazo yao hasa ya kuinadi FM ACADEMIA (Ile sauti sijui ya jamaa gani...alitembea mulemule)
Baada ya Ray C kukabwa na unga kooni,Recho na 'Upepo' wake uka-cover nafasi ya mtoto wa Chalamila..
Ruby nae akasusia pilau,kisa halina kachumbari,kutahamaki, kigoli Nandi akalila pilau lote.....
Sijasikia tu mbadala wa Komando Jide...
Shubaaamit!
Jideeeeee TenaAti?
Ila Clouds Media kwa kutengeneza watu mbadala hawajambo...
Alivyoondoka Gardener Habash bado nikawa naisikia sauti ya jamaa kwenye matangazo yao hasa ya kuinadi FM ACADEMIA (Ile sauti sijui ya jamaa gani...alitembea mulemule)
Baada ya Ray C kukabwa na unga kooni,Recho na 'Upepo' wake uka-cover nafasi ya mtoto wa Chalamila..
Ruby nae akasusia pilau,kisa halina kachumbari,kutahamaki, kigoli Nandi akalila pilau lote.....
Sijasikia tu mbadala wa Komando Jide...
Shubaaamit!
Jide nae walishayamaliza tangu kesi yake na Ruge ilivyoisha na akaruhusu nyimbo zake zipigwe, clouds wao wakasema zitapigwa ila mpaka azilete studio kitu ambacho sidhani Jide atafanya kwendaSafi sana kwa hili nampongeza sana Rama dee maana hakuna kitu kizuri kama kutafuta amani na watu huwapo duniani..
Lazima tujifunze kusamehe na kusameheana maana hatutoishi milele...
Rama dee ameonesha ukomakuvu na huu ndio utu uzima na hapa si swala la biashara bali ni swala lakuwa na amani na watu wote..
Nategemea ipo siku Lady Jaydee atahamua kusamehe kama wenzie
Mara nyingine utoto husababisha watu kugombana hata kwa sababu za kijinga.....
Lazima tukubali kila media ina umuhimu wake ni vyema wasanii wakajaribu kutafuta amani
Hongera Rama dee na Ruge