Raisi wa Mpito wa Misri ni Myahudi...

Raisi wa Mpito wa Misri ni Myahudi...

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,382
Reaction score
13,194
wor_Adly_Mansour_reuters_07052013-584.jpeg

Pichani ni Bwana Adly Mansor Mkuu wa Mahakama ya Katiba nchini Misri Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Raisi wa mpito nchini Misri Tarehe 4 Julai 2013 baada ya Jeshi la nchi hiyo kumuondosha madarakani mkuu wa nchi Mohamed Mosri. PPicha na REUTERS/Amr Abdallah Dalsh.

Mtangazaji Anayefahamika haswa nchini Misri bwana Ahmed Mansour amesema kuwa Bwana Adly Mansour, Ambaye ni mkuu wa Mahakama Kuu ya Kikatiba na ambaye ameteuliwa kuwa Rais wa Misri na jeshi,imefahamika kuwa ni Mwadventista Msabato, dini ambayo ni madhehebu ya Kiyahudi.

Ahmed Mansour amebandika post kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba Adly alijaribu kuingia kwenye Ukristo lakini papa wa madhehebu ya Coptic alikataa kumbatiza.

Ahmed Mansour ameelezea kuwa nafasi aliyopewa ElBaradei pale aliposema kuwa hakutaka kuchukua sehemu katika Baraza la Shura ambalo linakataza utoaji wa sadaka ya kuteketezwa! ambayo ni ishara inayotolewa na Wayahudi kwa ElBaradei, hivyo anaweza kuwa Rais wa Jamhuri katika uchaguzi bandia ambao jeshi litasimamia na matokeo watayabadilisha kwa maslahi yao tu... yote hii ni kwa idhini ya Marekani, Israel na Waarabu , bila shaka.

Ahmed Mansour aliandika katika ukurasa wake huo wa Facebook, "hili ni eneo tukufu kwa Misri na Waarabu wa baadae, ambao walifanikisha kufanya mapinduzi,wanapiga ngoma na kucheza kwa sababu ya mapinduzi ambapo kila mtu aliweza kucheza... hata kwa kiasi kwamba alikuwamo mmoja wao, ambaye anachukia dini ya Uislamu kwa taifa ambalo lililojitangaza kwamba limezaliwa upya ... na tarehe yake ya kuzaliwa ni 30/6, Pia ni, siku kama hiyo ambayo jeshi limeyashinda wanamapinduzi dhidi ya mshindi wao halali aliyepatikana kwenye sanduku la kura.

Adly Mansour ni mshauri Mkuu wa Mahakama Kuu ya Kikatiba na ambapo kwa sasa anashikilia wadhifa wa Rais wa Misri baada ya kuteuliwa na Jeshi pale baada ya kuondolewa kwa Rais Mohamed Morsy - alianza wajibu wake tu baada ya kuapishwa kiapo mbele ya Mkutano Mkuu wa Mahakama ya Katiba.

Habari hii awali ilichapishwa kwa Kiarabu na kwenye tovuti ya mtandao wa Ikhwanonline.com

Ahmed Mansour reveals: A Jew in Egypt
 
Kwa hiyo hatakiwi aongoze Misri??

Kwa vile ni Myahudi au kwa vile ni Mkiristo??|

Hata Makamu wa Raisi Zambia ni Mzungu na Baraka Obama wa Amerika ni Asili ya Afrika.. je kuna ubaya??

Ubaguzi kitu kibaya!!!
 
kwani huyo raisi wa mito anakwenda kuongoza Masinagogi au nchi ya Kimisri??? Kama ni Mmisiri si anahaki???? Post nyingine mbona zinkera jamani
 
Nia yako ninini we mleta mada? Waliompendekeza kukalia nafasi hiyo kwani hawajui madhehebu yake, hadi we uone kama vile ni hatari?
Hiyo profile yake ipo wazi mtandani, kila mtu ana access nayo.
Leteni thread zenye changamoto.
 
Hii habari nimeileta kwa wasiofahamu na wanapenda kujua kinachoendelea Misri na Kampeni za Kuuondoa madarakani raisi wa Mpito... na visa vya Muslim Brotherhood kuleta chokochoko za kuchoma makanisa kwa kisingizio cha raisi ni Myahudi... mbona hata Mugabe anayo profile inayosema ana miaka 89 huku yeye akiwa pungufu ya miaka kumi nyuma... Wa Cha arusha leo kimechanganya nini?
 
kwani huyo raisi wa mito anakwenda kuongoza Masinagogi au nchi ya Kimisri??? Kama ni Mmisiri si anahaki???? Post nyingine mbona zinkera jamani

Akili yako haina tofauti na ya Mbuzi... Maana hujaelewa Myahudi anachukua nafasi gani ndani ya Uislam katika kuleta Machukizo miongoni mwa Waislam.... kwa sababu hujui hilo ni bora unyamaze ili kuficha Upumbavu wako... kama umefuatilia kisa cha wazungu waliomwagiwa tindikali kule Tanzania visiwani ambao walisemekana ni Waingereza wenye asili ya Uyahudi ni furaha gani Waislam walifurahia kaa kimya...

Wewe akili yako ndio imekutuma uelewe kuwa ukiwa Myahudi na Kiongozi wa Nchi basi unatakiwa uongoze kwenye Masinagogi tu.. Mbona Netanyau haongozi kwenye Ma synagogue Wacha kunywa Viroba Usiku...

Na kama Adly ni mmisri unasema anahaki hiyo haki umeona anayo kivipi? kuteuliwa na Jeshi ndio Haki? Hizi zishakuwa zama za Wapumbavu waendelee kuwa wapumbavu na waerevu vile vile waendelee kuwa waerevu...

Sometime ni bora kuacha kuchangia usichopenda kuliko kuchangia na ukaonekana wewe Mento
 
Kwa hiyo hatakiwi aongoze Misri??

Kwa vile ni Myahudi au kwa vile ni Mkiristo??|

Hata Makamu wa Raisi Zambia ni Mzungu na Baraka Obama wa Amerika ni Asili ya Afrika.. je kuna ubaya??

Ubaguzi kitu kibaya!!!
Unasema kwahiyo wadhani mimi nimeleta maswali humu? umeona mchangiaji wa kwanza kaleta ulevi basi na wewe ndio unalewa... Unafuata Mkumbo

Miafrika ndio tulivyo...! NNgabu
 
Hii ni aina mpya ya kuwabagua Wayahudi unaweza kumsema au kumuita mtu ni Myahudi ili achukiwe na Watu....
 
Unasema kwahiyo wadhani mimi nimeleta maswali humu? umeona mchangiaji wa kwanza kaleta ulevi basi na wewe ndio unalewa... Unafuata Mkumbo

Miafrika ndio tulivyo...! NNgabu
Mkuu! hiyo tabia humu ndani imeshaota mizizi, yani utakuta UZI ni wamaana tena wenye changamoto kwa wapenda kujua mambo mbalimbali, lakini mchangiaji wa kwanza akianza kuponda basi tegemea na anaekuja pia ataponda. Yani ni mwendo wa kufuata upepo tu, hiyo tabia inalivunjia heshima jukwaa letu.
 
Akili yako haina tofauti na ya Mbuzi... Maana hujaelewa Myahudi anachukua nafasi gani ndani ya Uislam katika kuleta Machukizo miongoni mwa Waislam.... kwa sababu hujui hilo ni bora unyamaze ili kuficha Upumbavu wako... kama umefuatilia kisa cha wazungu waliomwagiwa tindikali kule Tanzania visiwani ambao walisemekana ni Waingereza wenye asili ya Uyahudi ni furaha gani Waislam walifurahia kaa kimya...

Wewe akili yako ndio imekutuma uelewe kuwa ukiwa Myahudi na Kiongozi wa Nchi basi unatakiwa uongoze kwenye Masinagogi tu.. Mbona Netanyau haongozi kwenye Ma synagogue Wacha kunywa Viroba Usiku...

Na kama Adly ni mmisri unasema anahaki hiyo haki umeona anayo kivipi? kuteuliwa na Jeshi ndio Haki? Hizi zishakuwa zama za Wapumbavu waendelee kuwa wapumbavu na waerevu vile vile waendelee kuwa waerevu...

Sometime ni bora kuacha kuchangia usichopenda kuliko kuchangia na ukaonekana wewe Mento
Medvedev, aliyekuwa rais wa Russia hadi mwaka jana (sasa ni Waziri mkuu) kabla ya Putin hajarudi kwenye madaraka ya urais ni Myahudi, je huko pia ni masinagogi ndo anasimamia? Au tu kwa kuwa mwanzilishi wa dini fulani alikuwa na wivu na chuki dhidi ya mayahudi basi kila mtu kwenye hiyo imani anawachukia mayahudi!

Any way, hizi habari za kwamba huyu rais wa mpito wa Misri ni Yahudi ni propaganda tu, tunajua kwamba kwenye sehemu hiyo ya dunia mayahudi ni watu wanaochukuliwa kama accursed race na kwa hiyo jamaa hawawezi kuruhusu hata kidogo awaongoze hata kwa sekunde moja tu.
 
....imefahamika kuwa ni Mwadventista Msabato, dini ambayo ni madhehebu ya Kiyahudi.
Usabato ni ukristo ulioanzia Marekani/si kweli kwamba ni dini ya kiyahudi.
Huyo jamaa ana lake tu .. Halafu kwani Myahudi (kabila/koo, nk.) hawezi hawezi kuwa raia wa Misri? Mbona kuna wayahudi wengi tu ni raia wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, Irak, Russia, USA, n.k.
 
Asante kwa kutujuza Mkuu, mi nilikuwa sijui.
 
Usabato ni ukristo ulioanzia Marekani/si kweli kwamba ni dini ya kiyahudi.
Huyo jamaa ana lake tu .. Halafu kwani Myahudi (kabila/koo, nk.) hawezi hawezi kuwa raia wa Misri? Mbona kuna wayahudi wengi tu ni raia wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, Irak, Russia, USA, n.k.
Mambo ya Muslim Brotherhood kuwafanya watu walete mtafaruku hadi kieleweke
 
Mapovu yatawatoka ila huwezi ongoza misri kwa sharia. Iran wenyewe wamechemsha, saudi arabia wenyewe pia watu hawapendi ila ni udikiteta tu wa mfalme
 
Labda mleta uzi anachojarib kutueleza ni kuwa kuondolewa kwa raisi ambae kwa kweli alishinda kwenye sanduku halali la kura ilipangwa ili element za kimagharib wapandikize mtu au watu wao ikiwemo jamii za kiyahud ambazo kiukweli swala la utulivu wana allergy. Chukulia kule middle east unakuta kuna mapatano fulani wakat muko mezani mara makombora yanarushwa toka kwenye ndege za kivita mara masettler wanaonhezewa nyumba zingine wakati majadiliano ya amani yanaendelea uvurugaji nao unaendelea. Labda mleta uzi alikuwa na concept hiyo.
 
Muslim Brotherhood is a cancer. If Egypt need to move forward, this (MB)cancer must be eradicated.
 
Back
Top Bottom