Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,382
- 13,194
- Thread starter
- #21
Labda mleta uzi anachojarib kutueleza ni kuwa kuondolewa kwa raisi ambae kwa kweli alishinda kwenye sanduku halali la kura ilipangwa ili element za kimagharib wapandikize mtu au watu wao ikiwemo jamii za kiyahud ambazo kiukweli swala la utulivu wana allergy. Chukulia kule middle east unakuta kuna mapatano fulani wakat muko mezani mara makombora yanarushwa toka kwenye ndege za kivita mara masettler wanaonhezewa nyumba zingine wakati majadiliano ya amani yanaendelea uvurugaji nao unaendelea. Labda mleta uzi alikuwa na concept hiyo.
Sina ufahamu wa Kupangwa kwa Mapinduzi ila kwa maandamano yale yaliyokadiliwa kufikia watu million 20 walioandamana kumpinga Mosri kwa upande wangu sikubaliani na upangwaji wowote wa Mapinduzi dhidi ya Mosri na hapo hata nchi za Magharibi hazijatia mguu wla nini... Mosri alijigeuza Mababe na kwa Tafsiri na hadithi za Wayahudi zipo wazi kuwa wamisri watapewa kiongozi katiri ambaye atajitwalia madaraka yote... so Yasemekana watu walianza kukumbuka hiyo hadithi huku wakimuamini Mungu wa Waisrael aliyemuambia nabii wa wakati fulani huko Misri....
Huu uzi inasemekana ulitumwa na mtangazaji wa huko Misri mwenye kupenda chama cha Muslim brotherhood... sasa hizo chokochoko ni za kujaribu kuwafanya watu wasikubali chochote kile kitakacho amuliwa na Jeshi.... Na kwa kifupi haya mambo yanawezekana kuwepo kwani wamisri na wayahudi wapo jirani na wameishi miaka na miaka tokea hadithi za biblia wanajuana a na be na Wanajua Mungu wa Israel Yupo hai na ana mapigo kamili so hawataki kuleta ubishani kama wa Farao... vita waliyopigana Israel na Waarabu Egypt alikuwa kimbelembele sana akitaka kuonesha kuwa Mungu wa Israel ni Hadithi tu lakini alishindwa akaoba Amani.... vita ikaisha huku akichechemea