Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
Mind set yake ni kuwa uRais ni haki yake mojawapo, maana anasema alipekua Katiba akukuta kumbe anaweza kuendelea, akagundua ni haki yake eti. Anasahau kuwa ana haki ya kugombea pamoja na wengine sambamba kugombea na kupambanishwa tuone kama ana huo uwezo. Mwenye uwezo wa kuchaguliwa na wengi (Majority) ndiyo mwenye haki.
 
Duh ndicho alikisema? Hakuona haki za wengine kugombea?
 
Upuuzi unaoendelea nchini ni handwork ya Jakaya Mrisho Kikwete mzee anayeiangamiza nchi kwa manufaa ya familia yake.
Ningeshangaa kama nisingekuta walio kwenye heat wakimtaja jk. Aisee huyu jamaa atafikacakiwa amechoka sana.
 
China wazalendo hakuna rushwa wala kuuza bandari zao hovyo.
Umesikia China Kabila fulani wamehamishwa kwa nguvu na eneo lao kuuziwa watu toka nje ya nchi yao?
Hakuna nchi inayojua kudhibiti habari zake za ndani na mikakati yake kama china,china ukitoa habari nje kifala unanyogwa,china siyo Tanzania Usiichukulie poa.
 
Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
IMG-20250717-WA0023(1).jpg
 
Back
Top Bottom