BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Toa maoni yako yanayojenga mustakabali bora wa nchi ya Burundi na wananchi wake.
Tiririka; karibu sana mwanawane.
Tiririka; karibu sana mwanawane.
King'ang'anizi tu huyo. Swali zuri ni waburundi wamfanye nini yeye!
Sijaisoma katiba yao lakini kuna lugha kama hii labda inaweza kukanganya. "Rais ataongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili tu vya miaka 5 kwa kila kipindi"
Na
"Rais atachaguliwa kuongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili vya miaka 5 kila kipindi"
Hii lugha imekaa je wandugu kwa wanao taka kujiongezea muda wa kuongoza ka Nkurunziza.
Naomba ushauri