Raisi Pierre Nkurunziza awafanye nini waliotaka kumpindua?

awaweke ndani ila asiwauwe.

tuwaombee salama ndugu zetu wa burundi wapite katika kipindi hiki kwa amani na wajenge taifa lao. amani ya burundi ni amani ya jumla kwa wana afrika mashariki

kama kuna baadhi ya watu hawakubaliani na nkuruziza atawale wafate taratibu za kisheria nazani waanze na mahakama za ndani wakishindwa waende hadi za nje na kama uchaguzi utafanyika wamkatae kwa kura
 
Sio king'ang'anizi ni katiba inamruhusu kwa kuwa awamu moja ndo amechaguliwa na wananchi ..ile nyingine aliteuliwa tuuu
 
Sijaisoma katiba yao lakini kuna lugha kama hii labda inaweza kukanganya. "Rais ataongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili tu vya miaka 5 kwa kila kipindi"

Na

"Rais atachaguliwa kuongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili vya miaka 5 kila kipindi"

Hii lugha imekaa je wandugu kwa wanao taka kujiongezea muda wa kuongoza ka Nkurunziza.

Naomba ushauri
 
Sijaisoma katiba yao lakini kuna lugha kama hii labda inaweza kukanganya. "Rais ataongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili tu vya miaka 5 kwa kila kipindi"

Na

"Rais atachaguliwa kuongoza kwa vipindi visivyo zidi viwili vya miaka 5 kila kipindi"

Hii lugha imekaa je wandugu kwa wanao taka kujiongezea muda wa kuongoza ka Nkurunziza.

Naomba ushauri

je na hii unaionaje ndugu?
In the late 1990s and early 2000s the CNDD-FDD split into several factions, with Nkurunziza assuming chairmanship of one faction in 2001. In that capacity Nkurunziza headed negotiations that culminated in his faction of the CNDD-FDD signing a peace accord with Pres. Domitien Ndayizeye in 2003. As part of the agreement, Nkurunziza received immunity from prosecution for war crimes. He later joined Ndayizeye’s cabinet as minister of good governance in November 2004.

The CNDD-FDD became an official political party in 2005. Under Nkurunziza’s leadership, the party won a decisive victory in parliamentary elections held in July. In preparation for the upcoming presidential election in Parliament, Nkurunziza was asked to be the CNDD-FDD’s candidate; he accepted the nomination and resigned as party chairman. In the ensuing vote by members of Parliament, Nkurunziza, the only candidate, won 151 of the 162 ballots cast and was elected president on August 19, 2005. He was formally sworn into office on August 25.

swali nililonalo ni je mbona alikubali kuapishwa kama Raisi kwa miaka mitano bila kupiga mezani kama anavyofanya sasa? wakati constitution ya Burundi article 96https://www.constituteproject.org/constitution/Burundi_2005.pdf ilikuwa very clear, au tuseme alikuwa anaongoza kipindi cha mpito? hebu tusaidiane jamani!
 
Gamba la nyoka, kumbuka aliye toa hukumu hiyo baada ya hukumu hiyo alikimbia nchi na huko alikokimbilia alipata kuongea na BBC kuwa hukumu aliyo itoa ilikuwa ni shinikizo la selikari na wala haki haikuwepo.
 
Nkurunzinza ataonyesha ukomavu mkubwa wa kiuongozi kama atawaachia huru na kuacha kugombea urais kwa awamu ijayo!

(The most he can do, for the moment, is to place them under house arrest for some short interval.)
 
Back
Top Bottom