Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

kenyata kaenda na delegation ya watu 50,wakenya wanalalamika,tushukuru mungu kwa kumpata huyu ma padlock

Wakenya wapo 150, Tanzania 6 (2 from ubalozi, 4 waliopata ruksa ya safari)
 
Lugha ni tatizo
Nimewahi kuhudhulia mkutano wa kimataifa wa wanasheria wa Africa uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu mjini Arusha kwenye ukumbi wa Ngurudoto cha kufurahisha wengi wa walioudhulia hawajui kizungu wala shikamo!

Na kulikuwa na headphone na shm ya kuchagua lugha yako. So huo ulimbukeni wa kwenda kwenye mikutano mikubwa lazima ujue lugha ya wakoloni naona umebaki nayo wewe mh!!
 
kwani kule wote wanatumia lugha moja mpaka useme lugha ni tatizo??!,huwa hauoni wamevaa head phone
Mkuu kama utaratibu wa kumuandaa atakayetranslate into swahili haukufanyika, hiyo channel ya kiswahili inakuwa haipo katika radio equipment so hata translation into swahili inakuwa haipo kabisa
 
Nimemuona Kenyata, Mugabe, Magufuli safi sana

Kenya ina ujumbe wenye watu zaidi ya 50 huko Paris. Magufuli anaweza kupata pressure akisikia hilo. Hiyo ni mikutano ya posho tu. Aende balozi na watalaamu wawili watatu basi.
 
Nimefanya kazi na Mh;Magufuri kutengeneza barabara ya kibiti hadi na kila akitaka kuongea na wale wachina inakuwa ngumu hadi tulikuwa tunamsaidia maneno mengine mf.way house's na mambo mengi.


swissme

Mtu ame-defend Masters and PhD yake kwa kiingereza. Jamani tafadhali tupunguze kukandia. Hao wachina wenyewe kingereza kwao ni kama kituo cha polisi.
 
Nasikia anaogopa usafiri wa anga kama Dennis Bernkamp wa Arsenal.Waswahili hawana jema wamempata Rais anayetulia nyumbani kelele Vasco Mzee wa kuruka majuu kelele.

Nimesoma mahali katika siku zake zote za uwaziri ameenda nje ya nchi mara sita tu.
 
hizi ni baadhi ya comments kutoka kwenye page yake Uhuru kenyata ya facebook

Pathe Seiny

Welcome to Paris Mr president

Gichugu Meek

Mr Uhuru Kenyatta ,i would ask you to address kenyan associations in diaspora ,they should create economic associations rather than gettogether associations

Nikie Mbaya

Our vasco da gama now in paris

Peter Angimah

uhuru is an upcoming artist who is too adventurous for foreign trips. He is too blind to see the reality on the ground.
 
Umewasikia wapi wanalalamika kama sio uongo, mi natazama citizen daily sijaona hicho kitu
hapa wanamchana tu kwenye page yake ya facebook


Wainaina Wa Kamunyu

Mr President, time is running out. Your indifference to the suffering of Kenyans especially because of corruption, incompetence, wastage, poverty, insecurity, tribalism, inflation et al will cost you dearly come 2017. If you continue with your casual nature of dealing with serious issues, you will be the first one term president in Kenya's history!

Peter Angimah

UPDATES FROM TANZANIA POST ELECTION ACTIVITIES Last weekend they were opening parliament and there was a state dinner planned for all guests that was going to cost about 300m. President Magulufi cut the budget to 25m and ordered that the rest be taken

Danson Wainaina

That is so good.


Peter Angimah

It so because he understands what is best for Tz. Uhuru sasaaa??? Is he an artist trying to promote his albums abroad?

Geoff Johb

Peter #your president will last only one term, amekanyanga wire


Joseph Mburu Simhamie tz ikiwa Kenya haiwapendezi

Peter Angimah Mr. Joseph Mburu you look physically mature. l like vile unaargue.

Wrangler Kamau waah just in three weeks??? uyu wetu ata awe prezo for life he wont do even half of what magufuli has done so far......uko kazi tuuu.....uku corruption tuuuuuuuuuuuu

Ericqo Ericqo

nonsense

Ericqo Ericqo

tell them mr #Joseph

Qmatics Qmaticsolutions Boke

hii ni upuzi kwa uhuru,he is the best president ever anyway,corruption is his legacy,but he is flying for us hata anafungua uhuru airways tutapata kazi,ndio maana 2017 uhuru tena,let him loot its his tym,uhuru create another nys,ur not the first to be incompetent anyway

Dou Obure

Thats why they fear Raila


Jack Instractor

2 long, hata shule hata shule tunategemea leakage, tusome saa gapi?

David Kimeu

300m Tsh is 12m ksh. What can you do with 12m sh. Ata km mola ya lami haiwezi

Siraj Kabocho

stop behaving like this is ok coz it's not no matter what the tribe the president is. He needs to address Kenyans immediate issues like corruption and the waste of tax payers money.

Jemoh Nyamu

Unafanya nini Kenya?

Bhupendra Patel

AN example for Kenya to follow from its humble southern neighbor, indeed.

Oringo Seda

Siasa Ya Kenya Si Hasa. Uhuru Kula Na Kura!! Hata 2017

Macharia Mash Masalia

Kalembe Ndile can do better than Magufuli & Raila.

Ali Mchaka

David Kimeu if you managed to save a single coin from embezzlement and re directing to the proper investment that is how you can empower the welfare of your society, you can't have one million dollar with one dollar missing. Magufuli is still our best president in Tanzania.

Charles Robertson

where as we have the son of a found father who has done just alot of travelling

Qmatics Qmaticsolutions Boke

we are asking kenya to invite uhuru muigai to our country,its long since he has been here,he can then.go to zimbabwe if he wants.we miss him dearly

Esther Maina

Angimah, good report, but I think its just a good PR. When the going gets tough things change. I'll be watching this space and compare whether you will write the same report one year down the line.
 
Kuna jipu pale wizara ya ADHI analifanyia taiming ? Ndani lina usaha wa njano na umeganda baada ya kuwapa watanzania maumivu ya muda mrefu.
 
Ntafurah zaid kama hatokuwa anajua kingereza,maake to me being good leader doesnt need you kujua kingereza..kwanza for so long tumekuwa tukitaman rais atakayepaisha lugha yetu kwa kuiongea..Kwa tunatatizo gani watanzania,mbona kama hatuna fadhira
 
Wale hata wakienda wote uchumi wao uko juu na huwa wakirudi na wanatimiza .na kiingereza wanaongea.back to home mkuu lugha pwaaaa.the the the what is.


Swissme

Acha ujinga, ukiwaona hao wakuu ktk huo mkutano utaona wako na headphones kichwani, maana yake wanasikiliza kifaransa kupitia mkalimani.
Mkutano wa ufaransa utatumia lugha ya kifaransa, kama unafanyika ujerumani wanatumia kijerumani. Mugabe, Kenyatta, Museven nk wanajua kifaransa, Je ne pense pas, alors, va au diable mensiuer!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom