Watu
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,470
kenyata kaenda na delegation ya watu 50,wakenya wanalalamika,tushukuru mungu kwa kumpata huyu ma padlock
Wakenya wapo 150, Tanzania 6 (2 from ubalozi, 4 waliopata ruksa ya safari)
kenyata kaenda na delegation ya watu 50,wakenya wanalalamika,tushukuru mungu kwa kumpata huyu ma padlock
Lugha ni tatizo.
swissme
Nimewahi kuhudhulia mkutano wa kimataifa wa wanasheria wa Africa uliofanyika mwanzoni mwa mwezi huu mjini Arusha kwenye ukumbi wa Ngurudoto cha kufurahisha wengi wa walioudhulia hawajui kizungu wala shikamo!Lugha ni tatizo
Mkuu kama utaratibu wa kumuandaa atakayetranslate into swahili haukufanyika, hiyo channel ya kiswahili inakuwa haipo katika radio equipment so hata translation into swahili inakuwa haipo kabisakwani kule wote wanatumia lugha moja mpaka useme lugha ni tatizo??!,huwa hauoni wamevaa head phone
kenyata kaenda na delegation ya watu 50,wakenya wanalalamika,tushukuru mungu kwa kumpata huyu ma padlock
wanaojua lugha mbona wameishia kushindwa kuweka mikataba sawa? wazungu wanabeba mpaka mchanga wenye halufu ya madini!Lugha ni tatizo.
swissme
Nimemuona Kenyata, Mugabe, Magufuli safi sana
Nimefanya kazi na Mh;Magufuri kutengeneza barabara ya kibiti hadi na kila akitaka kuongea na wale wachina inakuwa ngumu hadi tulikuwa tunamsaidia maneno mengine mf.way house's na mambo mengi.
swissme
Nasikia anaogopa usafiri wa anga kama Dennis Bernkamp wa Arsenal.Waswahili hawana jema wamempata Rais anayetulia nyumbani kelele Vasco Mzee wa kuruka majuu kelele.
Wale hata wakienda wote uchumi wao uko juu na huwa wakirudi na wanatimiza .na kiingereza wanaongea.back to home mkuu lugha pwaaaa.the the the what is.
unajua malalamiko yaliyoko kenya sasa hivi?wanamkumbuka kibaki,hali ni mbaya sana,fuatiilia media za kule
its true,,,kibaki revolutionized kenya
Kenya sends large team for climate talks - News | Daily NationUmewasikia wapi wanalalamika kama sio uongo, mi natazama citizen daily sijaona hicho kitu
hapa wanamchana tu kwenye page yake ya facebookUmewasikia wapi wanalalamika kama sio uongo, mi natazama citizen daily sijaona hicho kitu
Wale hata wakienda wote uchumi wao uko juu na huwa wakirudi na wanatimiza .na kiingereza wanaongea.back to home mkuu lugha pwaaaa.the the the what is.
Swissme