Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.

Duu... aliacha uwanja ndege ukiwa umeandikwa hivyo!? alikuwa akianzisha mkoa lazima ataweka japo AIR STRIPS lakini sasa angalia mikoa mipya kama inaviwanja vya ndege! TAFAKARI.
 
jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege anza kuangalia viwanja vya kuruka ndege viko hali gan mh raisi na waziri wako msanii
Nahisi huyo mwandshi hana tofauti na ulichoandika hapo juu.
 
X-Paster, unapiga watu madongo yaliyochanganyikana na changarawe??!!! lol
 
Nahisi huyo mwandshi hana tofauti na ulichoandika hapo juu.

umesahau na hii

ABIRIA TO WANAORUHUSIWA KUINGIA HUMU

ENTRANC TO PASSANGARS ONLY

MI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA
 
Du wacha nisepe je Kafulila hajaona tu!! Kama hao hawajaona itakuwa Dr bana tuache mambo ya hivyo jamani
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
VIP HAWAONI MAMBO YA THIRD CLASS,INAWEZEKAMA PIA MENEJA ANAISH DAR ANAFANYA KAZ KWA REMOTE KAMA WABUNGE TEHETEHETE! TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEE INJI YANGI TZ JINA LAKO NI TAMU SANAAA...
 
Angechapia kimanyema ningehuzunika,amechapia kidhungu,kwani yeye mdhungu ? wenye kidhungu chao wakisoma wataelewa nacho ni kivutio cha aina yake...Fikiri mara ya pili.
 
ha ha ha asa hapo si wanaandika ili na wazungu waweze kusoma maana naona wamechanganya na kiingerza kidogo .ha ha ha ha language is the problemm ma dia.
 
hakukuwa na haja ya kukiandika hicho kizungu basi
au ni kispaniola khaaaa!!!

Angechapia kimanyema ningehuzunika,amechapia kidhungu,kwani yeye mdhungu ? wenye kidhungu chao wakisoma wataelewa nacho ni kivutio cha aina yake...Fikiri mara ya pili.
 
af uwanja wenyewe umekakaa kama guest bubu hivi
za uswahilini
hilo dari na hayo mageti lool

jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege anza kuangalia viwanja vya kuruka ndege viko hali gan mh raisi na waziri wako msanii
kigoma.jpg
 
Hili halihitaji rais kutatua, ni upuuzi tu wa wafanyakazi wa hapo airport

ningekua na uwezo nigeshafukuzia mbali kazi manager wa uwanja huo
 
Kuna mahali nimekuta wameandika "FEAIR PLAY" nikaangalia weeee mwishowe nikaishia kufurahi maana mwisho tutatukanana!
 
Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?
Una uhakika kwamba anatuletea maendeleo kweli? Labda maendeleo alishayaleta kwenu Tarime ya kuwazuia kukeketa mabinti!
 
Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.
mwehu kweli wewe unathubutu kufananisha shule alizoziacha Mwl Nyerere na shule za akina Kikwete tazama hii Tosamaganga,Malangali,Azania,Kisutu,Tanga Tech,few to mention na shule za leo miyomboni, mzambarauni kule gongo la mboto,kidato cha sita hawajui hata kuomba maji kwa kiingereza.Fikiri kabla
 
jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege anza kuangalia viwanja vya kuruka ndege viko hali gan mh raisi na waziri wako msanii
kigoma.jpg
That is how the gvt works, watu wasio na uwezo wanapewa kazi ya kufanya mambo yanayohitaji proffesionalism, kwani walikosekana watu wajuao kiingereza wakabuni na kuandika maneno hayo?ni aibu kwa kuendesha nchi kwa kujuana!
BABA YUKO UCHI NANI ATAWAZUIA WANAE WASITEMBEE UCHI?
 
Nimegundua humu FJ mnachuki na rais haiwezekan kila kitu rais hata bango nalo mnataka kumzingua rais sasa hzo ni chuki'rais hii nchi cyo yake peke yake"kwann we umepita hapo usiongee na meneja wa uwanja utekebishe hayo mandishi!pumbavu weeeh.
 
Back
Top Bottom