Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.

Taratibu .. siyo utoto. Utetezi mwingine hauna maana. Kiongozi mkuu wa nchi ndiye anayebebeshwe lawama kwa kila kitu kinachotokea ktk nchi; elimu duni, miundombinu mibovu, uchumi dhaifu, n.k. Wajapan wamemlalaminikia kiongozi wao utafikiri yeye ndiye aliyesababisha tsunami mpaka kawajibika (kajiuzulu); bomba la mafuta la BP lilipopasuka kwenye Gulf of Mexico jaluo alikiona cha moto, n.k.
 
Wasafiri wanaosafiri kutoka Kigoma hawahitaji kusoma hayo maandishi. Kutokana na matatizo ya usafiri,mtu anachojali ni OK kwenye tiketi yake vinginevyo atakaa Kigoma kwa siku
6¥0 kadhaa! 1…5
 
Huko ndiko jamaa aliogopa wasimtarai akasema kusoma kulananiye kudya kwene ndabembeleza (kiha) wadogo zangu Zito na Kafulila wanaelewa
 
Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
rais yuko busy na safari za nje hawezi kusoma mabango
 
Back
Top Bottom