Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 7, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  jamani embu ona hii aibu ya uwanja wa kigoma wa ndege na alieandika hapa amelipwa si chini ya lakimoja na nusu na risiti imewekwa kwenye faili
  tunatia aibu embu kabla ya kufikiria kujaza ndege anza kuangalia viwanja vya kuruka ndege viko hali gan mh raisi na waziri wako msanii[​IMG]
   
 2. R

  Rushdie jr Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kiingereza wito ndugu yangu
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
   
 4. K

  Kwidikwidi Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ukishindwa kuwa makini kwenye minor things kamwe huwez kuwa makin kwenye masuala ya mcngi au serious issues kama unavyosema
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?
   
 6. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 973
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br /

  Wewe wa ajabu kweli, yaan mdau kuripoti ishu hiyo wewe unaona ni jambo la kitoto!? Napata wacwac na ukubwa wako.
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ile thread yako ya kipuuzi ya athari za J[FONT=&quot]F mbona uliikimbia .... jamaa alita[/FONT][FONT=&quot]f[/FONT][FONT=&quot]siri avatar yako [/FONT][FONT=&quot]v[/FONT][FONT=&quot]izuri sana[/FONT] ... je ni kweli?
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Mkuu lat
  hivi sasa ni saa saa sita na dk 44 napita tu
   
 9. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhe Zitto na Kafulila, mpoooo???

  Najua ndio katika ule mkakati wa Wapinzani kukuza utalii katika mikoa ya pembezoni. Maandishi haya ni sehemu ya viivutio vya utalii.
  Ni mchango wenu ambao Meneja Uwanja alishinikizwa ayaweke.

  Tusimlalamikie Rais,.. aligwatua madaraka kwa Wabunge wa opozisheni.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  subirini jamani kigoma itakuwa kama dubai
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hapa sasa tunamuonea Dr.Dr.Dr.Kikwete... naomba hili limwendee Prosper Tesha wa Mamlaka ya viwanja vya ndege...
   
 13. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Meneja wa uwanja wa Kigoma hajaenda shule nini au ndo akina Kihiyo na vyeti feki na hajui kimombo yeye anajua Mkalakoze channe...Kiha
   
 14. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,303
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sasa bango hilo linahusiana vipi na Rais??
   
 15. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  duh! Kumbe wewe ni mwehu...
   
 16. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hilo bango hata zito kabwe hajalistukia angeshaomba manager wa uwanja ajiuzulu
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hili halimhusu rais kwani anaoitishwa VIP, well ni suala la meneja malamka ya ndege mkoa mchaga mmoja hivi injinia tesha kama sijakosea jina ndio anatakiw akuwajibika, michuzi alishaitoa hii mwaka jana naona hakuna aliefanyia kazi. PDIDY vitu vingine sio lazima rais yeye ni mkuu wa nchi mambo hayo kuna wa chini yake, hata hivo kiingereza sio lugha yetu hata wamerekani mwaka huu mwanzoni waliandika SCHOL to mean school ikabidi wafute mara moja hilo bango lao.kama wageni hawajaelewa waulize nchi za wenzetu wanaandika lugha zao kila mahali kama huji\ui utauliza tu.
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Na ni Rais gani huyo anayeona fahari kuvaa viwalo kutoka majuu na kupita kwenye malango yaliyojaa vumbi na mabango yasiyoeleweka nchini mwake?!
   
 19. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Du wacha nisepe je Kafulila hajaona tu!! Kama hao hawajaona itakuwa Dr bana tuache mambo ya hivyo jamani
   
 20. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  unbelievable!
   
Loading...