mkuu ukishindwa kuwa makini kwenye minor things kamwe huwez kuwa makin kwenye masuala ya mcngi au serious issues kama unavyosemaNani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
<br />Nani kakuambia rais anapita hapo?, Yeye hupita VIP. Hata kama angepita hapo ndio awe na muda wa kunote small details kama hizo?. Thank you wewe ni makini kunote wengine wako busy na serious issues. Jamani JF sasa tunazidi, kila kitu ni mpaka rais?. Huu sasa unageuka utoto!? Tuache utoto!.
Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?
<br />Kikwete atafanya kazi ngapi? Amliwaze mama Salma, awaletee maendeleo na mabango nayo awarekebishie?
Sasa Rais aone nini na ndio shule na viwanja alivyotuwachia nyerere hizo.